lumbi lumbi
Senior Member
- May 30, 2017
- 173
- 160
Kama watatumia principal ya to prove beyond reasonable doubt..hamna kesi hapa
Itakuwa unaandika huku kichwani unajiona falaa fulani hiviMtanisamehe bure ila maswali ya mawakili wa utetezi ni dhaifu.
Halafu anajiangalia kwenye kiyoo na kujichekaItakuwa unaandika huku kichwani unajiona falaa fulani hivi
Tanzania kuna jury? Au hakimu/jaji ndo anajivika ujury?Maana yake Ndio hatari zaidi:: The prosecution must convince the jury that there is no other reasonable explanation that can come from the evidence presented at trial.
Muulize Kubenea habari za Ben.........hahahaaaa!si ajabu wewe ndiye ulimuua Ben maana wewe unatia mashaka miaka yote.😀😀😀😀😀
Comte acha mambo ya misimamo, mimi sina chama ila tu ukweli lazima usemwe kwa maslahi ya taifa letu maana huu ujinga wa Kingai, Urio na waliowatuma unatugharimu Sana sisi walipa kodi.Mkuu niaelewa na sababu ya msimamo wako. Uri kesha hojiwa. Mbowe alikataa kutoa maelezo polisi na akaahidi atafanya hivyo mahakamani. wakati wake hajafika. wache ufike ndipo tujadiliane.
Kuhusu simu- nina hakika taariifa za kuchunguzwa simu za Mbowe simu yake haiitajiki. Zipo tayari na zinamuunganisha na mashahidi na watuhumiwa wenzake
ndg yangu asb nusu nindoshe laptop yangu nilicheka chekasana nikasema kweli dunia tambara bovuDid you have a nice weekend?
Like speak again[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi majeshi yetu mbona upstairs hawako sawa?
Wamekengeuka? Kukengeuka maana yake nini? Wameshawishiwa wakashawishika kwenda kufanya uhalifu, imekuwaje si wanaviapo hao? Imekuwaje? Walisahau kuwa wana viapo? Au askari wamekuwa raia na si makomandoo tena maana wameshawishika kilani mno! Basi haya! Nawaza peke yangu.Jambo la maana kuliko yote leo kutoka kwenye dodoso za Mh. Kibatala
Washtakiwa wataendelea Kuwa Rumande chini ya Magereza Mpaka Kesho Asubuhi Saa 3 Asubuhi.
Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja
Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango
Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
we mpuuzi flani tuyaani hiyo ndiyo umeona ni point kubwa saaaana aliyoiongea kibatala? hopless kibatala hana jipya anamfungisha tu mbowe hana point y akumnasua na huo ugaidi wake
jamaa na form 4 yake aelewe nn sasa?The lights are on but no body at home
said to mean that although someone seems to be normal or satisfactory, they are in fact very stupid or useless.
Ngoja tuiweke kwenye Pdf moja itapendezaKwa wakuu wahusika humu: heshima yenu! Hii kesi ni kubwa na muhimu sana, inafunua jinsi jamii na taasisi zetu zilivyooza....ninapendekeza/omba ikiwapendeza mlolongo wa hii kesi tangu ilipoanza uwekwe pamoja ili hata wale ambao hawakupata bahati ya kuanza nasi iwe rahisi kwao kupata mfululizo wa kesi hii kwa tarehe ambazo walipitwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KIBATALA: Kule Darfur Mlienda Kwaajili Ya Kupambana Na Magaidi Janjaweed?
SHAHIDI LUTENI URIO: Ndio.
KIBATALA: Je Ungemuita Kiongozi Wa Janjaweed "Broo", Ungeeleweka?
SHAHIDI LUTENI URIO: Nisingeeleweka.
Ila Tanzania ulikua unamuita kiongozi wa Magaidi Freeman Mbowe "Broo/Homeboy" . . .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kuona mwanga bila kuwa na macho.Mtanisamehe bure ila maswali ya mawakili wa utetezi ni dhaifu.
Nyie akili zenu za kishetani kabisa.Ulio yupo sawa na kibatara anatoa ushahidi mzr Sana anawasaidia upande wa jamhuri ku justify kuwa kulikuwa na mawasiliano, na komando anathibitisha, kimsingi mwisho wa ck anachokifanya ulio Ni mtego ambao kibatara anauingia bila kujua au kwa kujua,
Stay tuned..
Hao jamaa wanapoteza muda tu wanamuuliza maswali shahidi ambayo hana ufahamu nayo jambo ambalo halina faida.Huwezi kuona mwanga bila kuwa na macho.
Tuwape kongole jamani mawakili wa upande Wa utetezi kwa sababu wanafanya kazi kubwa na ngumu sana kumwokoa M/Kiti toka ktk midomo ya hawa simba wala watu...Yaani ni full kujichanganya...
Hebu fikiri hivi;
1. Simu zinakadhiwa na kushikiliwa polisi tangu tarehe 12/8/2020...
2. Shahidi anakutana nazo mahakamani Januari, 2022...!
3. Lakini cha ajabu simu hizo zinaonekana kutumika hapa katikati. Zimetokaje polisi? Wao wabumba kesi bila shaka wanajua..
4. After all kuna hili very interesting, kuwa, hakuna uthinitisho/risiti ya makabidhiano iliyopelekwa mahakamani kuonesha kuwa hizo ni mali za Urio na zilikuwa polisi kwa uchunguzi...
5. Tuwape kongole jamani mawakili wa upande Wa utetezi kwa sababu wanafanya kazi kubwa na ngumu sana kumwokoa M/Kiti toka ktk midomo ya hawa simba wala watu...
Wanaendelea kuthibitisha pasipo shaka kuwa, mashtaka hayana ukweli wa uhalisia kwa sababu ni ya uongo wa kutungwa na watu wakiwa wamekaa ofisini...!!