Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

URIO hatakaa amsahau Kibatala hadi anaingia kaburini !! laaah
Mkuu kweli- kwani Mbowe akisha kula mvua zake nani atamlipa Mh. Kibatala? Na nani kasababisha yote hayo- Luteni Urio
 
Mkuu kweli- kwani Mbowe akisha kula mvua zake nani atamlipa Mh. Kibatala? Na nani kasababisha yote hayo- Luteni Urio
So far hakuna kesi hapo bwa mdogo !!
 
Hao ni Telegram. Id yako inakuja code namba kama sikosei,
Kipindi niko quantico tulitumia telegram sana, wanaweka eroplane mode kisha wanawasha WIFI, kwenye wifi spot message au call inaenda
SMS nyingine zote zinaonyeha namba, isipokuwa hiyo tu. Ndio maana imetia mashaka.
Pia Kibatala alibaini labda walitumia staili ya Free SMS

Nilichogundua ni hawa Mawakili wa utetezi wamejiandaa sana. Wanapita kila eneo lenye mapungufu hadi Shahidi unajikuta unasahau kuongea uongo na kujikuta unaongea ukweli.
 
Nashukuru kwa kuwa mkweli- sasa naomba uwambie wenzako
  1. Kesi hii haitafutwa
  2. Kesi hii itaisha baada ya mashahidi wote kusikilizwa
  3. Jaji atahukumu kulingana na ushahidi uliopelekwa kwake
  4. Hukumu ikitoka ndipo tutajua stahiki ya kila mtu.
Mbona mahala pengine Huwa unatoa Hukumu Moja Kwa Moja?
 
Mkuu kweli- kwani Mbowe akisha kula mvua zake nani atamlipa Mh. Kibatala? Na nani kasababisha yote hayo- Luteni Urio
Hapa Naona wewe unaijua hukumu tayari!
 
Vetting Vs Orentiate?
 
The
YAANIBADO HUONI UGAIDI ? AKILI MAKALIONI KWELI WEWE

Nashukuru kwa kuwa mkweli- sasa naomba uwambie wenzako
  1. Kesi hii haitafutwa
  2. Kesi hii itaisha baada ya mashahidi wote kusikilizwa
  3. Jaji atahukumu kulingana na ushahidi uliopelekwa kwake
  4. Hukumu ikitoka ndipo tutajua stahiki ya kila mtu.
Kwa mara ya kwanza naona Comte umetoa maoni bila ushabiki...
 
Kibatala: kwa hiyo ni pesa ya Mbowe ndiyo imefadhili Ugaidi halafu Pia Ukatoa Mafunzo Kuwa Wasifanye Ugaidi?

Shahidi: Ndiyo
aisee, kwa hiyo jamaa aliomba hela zaidi ya kuwafanyia Vetting - yaani orientation ili wasifanye ugaidi - ha ha ha

Urio wewe ni super aisee. Vetting = orientation.
 
Mh. Kibatala naona akili yake yote iko kwenye sheria ya ushahidi na PGO. Sheria ya kuzuia na kupambana na matendo ya ugaidi siyo lazima uwe na vilipuzi au ulipuwe ndiyo uwe umetenda ugaidi.
Kuwa na nia tu kama Mbowe alivyofanya na kuthibitishwa na Urio; kukusanya watu kwa nia kutimiza nia hiyo ni kinyume cha sheria hiyo
 
Hii kesi bhana. Sasa shahidi Urio ni kama alikuwa “double agent” au ni kwasababu hii kesi ni ya kubumba? Maana kaambiwa atafute vijana na kukusanya ushahidi, lakini hapo hapo anamshtua Mbowe kuwa awe makini asitumie simu yake kutuma pesa bali atumie wasaidizi au wakala. Sasa hapo si anasaidia ushahidi usikusanywe? Kina Kingai ni wapumbavu kabisa!

Shahidi: "Usiwe unatumia namba yako Kutuma Pesa, Tumia Wasaidizi Wako au Wakala Kutuma"

Kibatala: Ni nani aliyetuma Meseji hii

Shahidi: Mimi Denis Urio

Kibatala: Nikumbushe Kule Kwa DCI na Kingai Uliambiwa Jambo gani Vile

Shahidi: Kuwapeleka Watu

Kibatala: Ni sahihi Katika Maelezo Yako uliyo andika, Uliambiwa Uendelee na kazi ya kumtufutia Vijana na Kuku Sanya Ushahidi

Shahidi: Ni sahihi
 
watu gani walikusanywa?mbona hawajatajwa kwenye ushaidi au wewe umewasikia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…