Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

Naona sasa kibatala anamtengenezea shahidi hali ya kujihisi msaliti asiyefaa kwa kuwasukumia wenzake kwenye moto.
Hii itamtesa kisaikolojia hata baada ya kumaliza ushahidi wake, na pengine mahusiano yake na wanajeshi walio ktk utendaji wake
Hafai kuwa platoon commander anaweza wachoma memba wake kwa adui akiminywa pumbu huyu

TPDF ondoeni hio takataka inawachafua sana jamaa sio mzalendo kabisa.

Halafu tena komando[emoji15]!!
 
Kibatala: akuna Taarifa a kwamba siku za Adamoo na Ling'wenya Wanakamatwa walikuwa wanapokea Taarifa Kutoka kwa Msiri wao, Je huyo Msiri ni wewe

Shahidi: Siyo Mimi

Kibatala: Je Kwa Ufahamu Wako palikuwa na amtu Mwingine aliyekuwa anatoa Taarifa kwa DCI na Kingai

Shahidi: Hakuna

Kibatala: Kwa Ufahamu Wako wewe Kuna mtu Mwingine ambaye alikuwa anawajua Adamoo na Ling'wenya

Shahidi: Hapana
anajichanganya, anasema siyo msiri wao.... Yeye ndiye aliyeripoti habari hizi za ugaidi kwa DCI na Kingai wakati huo amekiri kuwa hakuna mtu mwingine anayewajua Adamoo na Lingwenye katika sakata hili.......therefore yeye ndiye msiri wao akina Adamoo
 
Mr. Urio anafikiri Mahakama Kuu ni sehemu ya mchezo.
Ilibidi acheke baada ya Kibatala kumuonyesha asome mahali kwenye SMS ambayo namba ya aliyetuma SMS haionekani.

Yani Meseji ya ushahidi inaonyesha kuwa inatoka kwa Urio huku namba ya simu ya Urio haionekani, ikabidi acheke tu.
 
Acha wewe, unafikiri kubananishwa kizimbani mchezo? Hata Kibatara akisimama pale na ukali wote alionao lazima jasho limtoke. Pale sali sana usifike mzee
Mbona adamoo anatililika saana akisimamishwa hapo kizimbani
 
Ilibidi acheke baada ya Kibatala kumuonyesha asome mahali kwenye SMS ambayo namba ya aliyetuma SMS haionekani.

Yani Meseji ya ushahidi inaonyesha kuwa inatoka kwa Urio huku namba ya simu ya Urio haionekani, ikabidi acheke tu.
Hao ni Telegram. Id yako inakuja code namba kama sikosei,
Kipindi niko quantico tulitumia telegram sana, wanaweka eroplane mode kisha wanawasha WIFI, kwenye wifi spot message au call inaenda
 
Homeboy wa kupuliza ndugu Urio naona kinampata cha kumpata.. kushirikiana na mashetani noma sanaaa
Kosa lilifanyika hao kina Adamoo kuwa treated kama magaidi, wakati walikuwa plants from get go....
Hawakupaswa kuwa lokapu, hawa walitakiwa kuwa under witness protection kama ipo,, and away from mbowe, ili waje ku testify against mbowe,,
Walikosea kuwaweka selo
 
Atashinda
Nashukuru kwa kuwa mkweli- sasa naomba uwambie wenzako
  1. Kesi hii haitafutwa
  2. Kesi hii itaisha baada ya mashahidi wote kusikilizwa
  3. Jaji atahukumu kulingana na ushahidi uliopelekwa kwake
  4. Hukumu ikitoka ndipo tutajua stahiki ya kila mtu.
 
Kosa lilifanyika hao kina Adamoo kuwa treated kama magaidi, wakati walikuwa plants from get go....
Hawakupaswa kuwa lokapu, hawa walitakiwa kuwa under witness protection kama ipo,, and away from mbowe, ili waje ku testify against mbowe,,
Walikosea kuwaweka selo
akili ndogo kwenye mambo makubwa kama haya.. matokeo yake ndio kama hayo mnayaona
 
URIO anazidi kufanya maisha ya Kingai na genge lake yawe magumu

Kibatala:
Tu assume Kama Mambo yalivyotokea, Je Freeman Mbowe alikuomba umtafutie Walinzi au Magaidi

Shahidi: Kwa hao nilikuwa namtafuta Watu Wa Kwenda Kufanya kazi ya Ulinzi

Kibatala: Yeye Mbowe alitaja Walinzi au hakutaja

Shahidi: Alitaja Walinzi

Kibatala: Ndiyo Maana wewe Uliwatafuta watu wa kwenda Kufanya Ulinzi

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Mbowe alikwambia ukionana nao Uwaambie hivi na Vile?

Shahidi: Hapana
Hapo kasha badilishwa chanel tena, alimtafutia walinzi nayeye kamatamkia walinzi, tena ugaidi wa kukata miti unatoka wapi?.....mbona huyu shahidi kaharibu ushahidi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom