Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Sasa ni bayana kila kitu hadharani, yote yametokea kwa sababu ya uzalendo wa luteni Urio.
Tunawaomba na jeshi la polisi muwe kama Luteni Urio mtete nchi yenu na kuilinda dhidi ya vitendo vya kigaidi
Tayari Urio ameshaharisha damu kwenye cross examination.
Next time muwe mnawachonga vizuri hawa mashahidi wenu wa mchongo 🤣🤣🤣
 
Nashon: Kwa hiyo ulienda hadi Morogoro kukutana na magaidi nakuwa Mobilise wafanye ugaidi?

Shahidi: HAPANA SIYO MAGAIDI

Mahakama: Kicheko

HATIMAYE URIO KAKIRI MBOWE SI GAIDI
Mimi nilivyomuelewa ni kwamba, wale makomandoo hawakua magaidi na kwamba hawakua wakijua nini wanaenda kufanya. Sio mtu mwingine ni hao makomandoo tu
 
Majibu ya mjingamimi kabisa
 
" Shahidi: Sijui Kama Ni Kosa au Siyo Kosa

Malya: Lakini wewe Uliwatafuta Vijana Ukawaambia Waende kwa Mbowe Kufanya nini

Shahidi: Kuambatana kazi ya Ulinzi

Malya: Kwa hiyo Mtu Kuwa na Walinzi ni Kosa siyo Kosa

Shahidi: Sijui Kama Siyo Kosa

Malya: Kwa hiyo wewe wakati unawatafuta hawa akina Khalfani Bwire unawapa pesa au unawapeleka kwa Mbowe kuwa walinzi, hujui kuwa kosa siyo kosa?

Shahidi: SIYO KOSA

Mahakama: Kicheko"

🤗🤗🤗🤗🤣🤣🤣🤣🤣🙊🙊🤲🏿🤲🏿🙊🙊🙊😭😂😂😂😂😂🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️🙊🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
 
Mimi nilivyomuelewa ni kwamba, wale makomandoo hawakua magaidi na kwamba hawakua wakijua nini wanaenda kufanya. Sio mtu mwingine ni hao makomandoo tu
Hati ya mashtaka inasema vikao vya njama ya kufanya ugaidi vilikaa morogoro na hawa watuhumiwa, alafu leo shahidi urio anasema mpaka wanakaa kwenye hicho kikao na kumaliza mjadala hawa watuhumiwa hawakujua kuwa wanaenda kufanya ugaidi.

Sasa jiulize hicho kikao alichokimobilize urio hapo morogoro kinaitwaje kikao cha kupanga ugaidi wakati wahudhuriaji wa kikao hawajui kuwa wameitwa kwa ajili ya kwenda kufanya ugaidi????????

Jamani tutafute pesa tusomeshe watoto shule nzuri kujiepusha na aibu kama hizi.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna watu wamekaa mahabusu muda mrefu sana kwa sababu ya msangamano wa kesi mahakamani.

Ingekuwa busara sana kuwafikiria hao zaidi kuliko kupoteza muda na Pesa kwa kesi ya kubumba kama hii.

Kazi ya pilisi ni kubambikia na kuua watu wasio na hata kwa lengo la kupandishwa vyeo
 
Malya: Ila Unakumbuka Kuwa Mlikula

Shahidi: Ndiyo

Malya: nani alilipa Chakula

Shahidi: Nililipa Mimi

Malya: Ulitoa Wapi Pesa ya Kuwalisha Magaidi

Shahidi: Kwa Freeman Mbowe

Malya: Soma Maelezo Yako hapo Unasema Kwamba Ulitumia pesa ya na Mbowe ya Nini

Shahidi: Ya Kuwaita na na Nauli ya Kwenda Moshi

Malya: Kuna sehemu ambayo Freeman Mbowe alikwambia anakupa pesa ya kuwapa chakula

Shahidi: Hapana

Malya: Ila wewe ukaona uwalishe magaidi?

Shahidi: Nilikuta wanakula na mimi nikajiunga kula, kisha nikalipa bili

Mahakama: Kicheko
 
Mimi nilivyomuelewa ni kwamba, wale makomandoo hawakua magaidi na kwamba hawakua wakijua nini wanaenda kufanya. Sio mtu mwingine ni hao makomandoo tu
Kwa maana halisi unataka kusema anayedhamiriwa ni Mbowe si ndiyo? Kwa hiyo Huyo Mbowe atahukumiwa Kwa dhamira ambayo hakuitoa popote maana alopokaa na vijana hao kupanga ugaidi mpaka Sasa. Mtu pekee (Kwa mujibu wa maneno yake) aliyekaa na Mbowe kupanga/kuongelea uhalifu au tuseme ndo Ugaidi ni Urio ambaye siyo mshtakiwa. Sasa hao wengine wako mahakamani Kwa kesi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…