mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sasa wao wamekubali Kama wamedanganywa?
Okay, kama wale vijana walidanganywa wanafanya nini ndani hadi muda huu??
Unafahamu mashaidi kumi na moja waliotangulia walisema wale vijana ni magaidi?
Kwa hiyo hadi muda huu mashaidi 11 wote ni waongo maana wameshuhudia uongo uliotungwa na Urio
Sasa tuseme Mbowe alikua anapanga ugaidi na nani kama makomandoo ni watu wema kabisa kwa ushahidi wa Urio