Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hafanani kabisa na anavyoelezewa humu, khaaaaaah.
Kabla ya kujiunga na jeshi, alikua na elimu ya 4m 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo tatzo lilipo.
Mbona kuna form 4 wapo smart.. huyo tu ndio tatizo..
 
Urio alishajitoa kwenye kesi haukusoma ushahidi wake?
We nae umekazania mno, kwanza kwa muenendo huu, inabidi URIO awe mtuhumiwa au mshitakiwa na sio shahidi tena, kashajikanyaga kweupeeeee.
 
Gaidi hakusema mbowe kafanya ugaidi.bali alikuwa anapanga mipango ya kutekeleza ugaidi.
Shahid anasema mbowe alimtuma awatafutie vijana .
Shahidi hajasema hizo hela alizotumiwa ni kwa ajili ya kufanyia ugaidi.bali NI usafiri wa vijana wa mbowe ambao walitakiwa kwenda kufanya ugaidi.
Mbona kamanda urio ameeleza vizuri tu.kwenye ushahidi wake
 
Urio alishajitoa kwenye kesi haukusoma ushahidi wake?
Sasa jana alikua mahakamani km nani? Au alikua anaongea nn? Km alishajitoa ktk case na ushahidi upo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu nieleweshe kwani na mie nipate kujua aseeeeh.
 
Alikuwa anamjaza upepo tu.
Mbona huyo huyo URIO ndio wa kwanza kwenda kumchoma mbowe?
na urio ndo amesema yeye ndio kampigia simu DCI boaz.
wenyewe wamekwambia "MWANAJESHI HAWEZI KUWA RAIA ILA RAIA ANAWEZA KUWA MWANAJESHI."
Mngeuelewa huu msemo msingepata tabu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16].kwanza nikwambie kitu kimoja Mimi hata mafunzo ya mgambo sijawahi kupitia.
Pili Mimi nakoment kulingana na ushahidi wa kamanda urio alioutoa.

Ebu tumalizane ubishi.
Naomba uniambie chats,calls na miamala ya fedha ya mbowe viliingia vipi kwenye simu ya kamanda urio?
 
Kwanini hakwenda kwa wakuu wake wa jeshi.
 
Rm Iygyyyyuyuyyyuygyyujru ttttyuyyyyyyyyyttyyguyytyryuyrrffrr
 
Urio amekili hadharani kuwa yeye ndiye 'whistler brower' wa hii kesi na alienda kwa DCI kuripoti hii maneno……….. hii inatosha kabisa kumtika zigo lote la hii kesi!
kalazimishwa hayo.... kama kweli angekua kapewa kazi hiyo asingetajwa na mchongo ungekua una ushahidi wakutosha.
 
Wewe ndio unawaza kwa kutumia ma... Urio ni kilaza wa level ya professor na ww ni kilaza square
 
Onesha wapi mbowe kapanga ugaidi usijiandikie tu kwa kutumia akili za kingai
 
Wale waliokuwa wanadanganyana kwenye kitchen Party ya akina maria na fatuma kuwa urio ,urio hayupo sasa huyo hapo anafunguka na maushahidi mazito ta telegram, huyu shahidi ndio anawamaliza kabisa
Ushahidi mzito my foot[emoji2]
 
Nimeshangaa hapo anaposema yeye sio raia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]bwahahahah

Huwezi kuwa mwanajeshi bila kuwa raia na wewe kuwa mwanajeshi haikuondelei alama ya wewe kuwa raia

Sababu moja ya sharti la kuwa askari/mwanajeshi ni kwanza uwe raia wa nchi husika.

Hii notion ya maaskari wetu kutojioa wao sio wa raia imekaa kipumbavu.

Kuna raia askari na kuna raia wa kawaida

Wewe ka sio raia basi ni mamluki,mkimbizi, utoke jeshini haraka

Waza logically
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kaulizwa kabla ya kuingia jeshini, Elimu yake n ipi? Eti 4m 4 wooiiiiiiiiiiiih.
Aliendaje kozi ya jeshi ya uafisa akiwa na form 4 na certificate tu maana zamani walkuwa wanachukua form six tu au uwe diploma

Siku hizi wanataka wenye degree tu tena wana kozi zingine wameanisha kushirikiana na vyuo vikuu kama udsm na IAA inaitwa military science
 
Point yao NI kwamba ukishakuwa mwanajeshi utabaki kuwa mwanajeshi hata Kama utafukuzwa au kustaafu..
Hata ukirudi uraiani bado wewe ni mwanajeshi maana una mafunzo ya kijeshi ni tofauti na raia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alipata div 3 ya 25, 4 inaanzia 28, mwaka 1999, yaan huyu URIO anatoa comedy hadi bas, lol
 
Sasa haya ndo Mambo mnatakiwa mjiulize.
Mbowe alikuwa anamtumia hela kamanda urio za kazi gani?
sio kulalamika tu

..hivi maadili ya AFISA WA JESHI yanamruhusu Lt.Urio kufanya mchezo aliowafanyia kina Adamoo?

..kwanini hawakumlengesha Mbowe na makachero wa polisi, badala yake wamekwenda kuchukua vijana waliokuwa ktk shughuli halali, na kuwatumbukiza ktk jinai kubwa kiasi hiki?

..Jeshi la polisi linatakiwa kuzuia Ugaidi na sio kutengeneza magaidi wake lenyewe na baadae kuwashtaki mahakamani.
 

Najua ww ni kilaza, ila sikutegemea kama ni kilaza wa kiwango hiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…