Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Sasa wao wamekubali Kama wamedanganywa?
 
Actus reus non facit reum nisi mens sit rea. Conviction comes after Actus reus and mens Rea have been proved beyond reasonable doubt.Prosecution watatumia evidence gani kuthibitisha kwamba jinai ilitendeka ama ilipangwa kutendeka? Aliyetafuta Makomandoo aliwaambia amewatafutia kazi ya ulinzi nao walienda kufanya kazi ya ulinzi.Aliyetuma pesa aliituma kwa ajili ya nauli na kujikimu njiani,hapo jinai au Nia ovu iko wapi?Twende kwenye common intention,hakuna mahali ambapo watuhumiwa walikutana na wakapanga kufanya jinai hata kwa njia ya mtandao ,hakuna.Urio anatoa utterance tu bila ushahidi unaothibisha kauli zake.
 
Lt. Urio umefika muda wa kuondolewa nyota hizo,pole kwa kujiumauma kizimbani
 
Kama angewaambia ukweli wangekataa sasa kosa la makomando ni lipi hapo??? kama walitumika kama chambo ya kumnasa mbowe kwanini wawe washitakiwa???

Malengo ya mbowe unathibitisha vipi ilihali Urio anadai hela alipewa ni za nauli,, na anakiri ni ulinzi sio ugaidi...

Hakuna ushahidi wa ku prove dhamira ya mbowe kwasababu ni Urio tu anazungumza...hakuna lolote linaloashiria ugaidi....

We nae...
 

Nasisitiza kila siku..

Hakuna sehemu yoyote inayoonyesha Dhamira ya ugaidi,,wala mkakati...Na hizo fedha wanazosema zilidhamini ugaidi ni hela ambazo zina maelezo kabisa toka kwa Urio...

Sijui ugumu wa kuelewa hili unatoka wapi kwa Watanzania wenzangu
 
Baada ya komandoo URIO kuhitimisha ushahidi wake wa style ya kicheko na masikitiko sasa tutegemee who will be next ? Je ni Komandoo Moses Linjenje ndani ya nyumba ??
 
Kwa ufupi police wameonyesha welevu wa hali ya juu sana.

Yaani wamefanikiwa kuwatesa wanajeshi.wanaojiita makomandoo,mwisho wakawafungulia kesi.chaajabu hawajawafungulia ote wakamuacha msaliti Urio ili aje wamuone msaliti wao.hivyo police wamejivua lawama.

Lakini chaajabu wanajeshi wamekaa tu wameshindwa kujua mchezo waliochezewa na police.
 
Kwa ufupi police wameonyesha welevu wa hali ya juu sana.

Yaani wamefanikiwa kuwatesa wanajeshi.wanaojiita makomandoo,mwisho wakawafungulia kesi.chaajabu hawajawafungulia ote wakamuacha msaliti Urio ili aje wamuone msaliti wao.hivyo police wamejivua lawama.

Lakini chaajabu wanajeshi wamekaa tu wameshindwa kujua mchezo waliochezewa na police.
 
Makomandoo wa wameuzana wenyewe.

Wamepeleka umbea police.police wamewashughulikia vya kutosha.mwisho baada ya kuona watalaumiwa zaidi wakamuacha urio ili jeshi lijue msaliti ni nani.
Hii kesi police wameshajisafisha.

Huko jeshini.wajitasimini sana kupitia huyu urio wao.
Kama wameona kumpa vyeo mtu wa form4 aliefeli hii ndio madhara yake.
 
Komandoo alafu ni Luteni alafu hana akili aisee kumbe jeshi ndo linaajiri vilazaa kiasi hiki

Yaani katika ushahidi komandoo mzima anajipiga kidole alafu ananusa, hii ni aibu kwa jeshi

Umedanganywa na nani kwamba Uninja unahitaji watu waliopata division one kwenye mitihani ya nadharia darasani?
 
Mashitaka ya mbowe Ni ya kisiasa Kama yalivyo ya sabaya, tulisema mwanzo hum ndani kwamba haya mambo tuyaache watu wakawa imbalanced, nw mmeanza kuelewa Sasa, Kama sabaya alifungwa Kwa kosa la kisiasa kadharika hii kesi kunamtu atafungwa kwa kosa la kisiasa, halafu ujue makosa Ni yaleyale, Sasa jiulize ugaidi na ujambazi Ni kipi Kiko juu??[emoji1]
 
Gaidi ni Urio kwa maelekexo ya DCI
Jeshi limchukulie hatua za kinidhamu kwa kupanga mipango inayoweza kuyumbisha nchi bila kuwajulisha wakubwa zske
Urio Ni the hero man who witnessed the truthly accordingly, kwangu namuona shujaa ambae ni mzalendo haswaa na Tena komando..
 
Sikubaliani na wewe, mpaka sasa kesi ya mbowe inavyoendelea bado hakuna ushahidi unaomuunganisha na shtaka lake labda mashahidi watakao kuja baadae

Kesi ya Sabaya ushahidi ulikuwa wa wazi kabisa na hata yeye mwenyewe kwenye utetezi hakuupinga zaidi ya kusema alitumwa na mamlaka za juu.
 
Huko jeshini.wajitasimini sana kupitia huyu urio wao.

Imenifikirisha sana...

Jeshi letu nimeanza kuliona kwa jicho la kitofauti sana... Toka ajira za jeshini ziwe zinapatikana kwa Connection...

Uzalendo umekuwa mdogo sana,,kuna kundi kubwa sana la Askari kwenye majeshi yetu ambao sio wazalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…