Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi Januari 18, 2022

Afe kabisa.. Mungu aonae sirini anajua hawa serikali wana watesa kina Mbowe.
 
SHAHIDI ana nyoosha mkono wake Juu anasema "SAMAHANI MHESHIMIWA JAJI, KICHWA KINANIGONGA NASHINDWA KUONGEA KWA SAUTI"

Jaji: Wakupe Maji?

Jaji: au uondoe kitambaa usoni (Barakoa)

Shahidi: Hapana sababu ya kiafya ibakie tu
Mungu sio mnafiki....
 

Hapa Jamiiforums ni platform ya jamii yenye uelewe mkubwa wa TEHAMA pamoja na cyber security bila kusahau haki msingi ya mteja kujua privilege ya data security awareness ipo kwa watoa huduma wote, ngoja tuone nchi yetu na hasa taasisi husika kama wamekomaa vizuri katika fani hii. Tunafuatilia maelezo ya upande wa Jamhuri kuwapima utendaji na mwenendo wa kitengo hiki cha Cyber Crime LAB cha jeshi la Polisi.
 
Huyu wakili ana mtendgenezea mazingira magumu sana huyu shahidi. Maana atahojiwa na kina Kibatala siku tatu.
Hivi kina Kibatala et al wana taaluma zote za dunia hii?? Ingawa nina norble professional lakini hii ya kina kibatala inanivutia sana.

Naweza kuwa Kibatala kwenye eneo langu. I am very impressed kama alivyokuwa TL na Mbowe.
 
Tunafuatilia maelezo ya upande wa Jamhuri kuwapima utendaji na mwenendo wa kitengo hiki cha Cyber Crime LAB cha jeshi la Polisi.
Cyber crime act is about legal practice, ktk cv huyu dogo kwa hakika hajaiva, namna ya kung'amua tatizo inawesekana ana uelewa nayo lkn misingi inayomfanya kufanya hiyo kwa maana ya legal perspective ndo inaweza kuwa tatizo....na kwa hakika ameacha upenyo kiubwa ambao kina Kibatala watambamiza maswali ambayo nadhani hatokaa aumwe kichwa bali kuzimia kbs!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…