Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi Januari 18, 2022

Huyu wakili ana mtendgenezea mazingira magumu sana huyu shahidi. Maana atahojiwa na kina Kibatala siku tatu.
Kwa huyo hawapati kitu- wataishia na maswali yao- Tulikuona unamtesa Mdude Chadema
 
Pale presha ya shahidi wa mchongo inapopanda baada ya kumuona Kibatala
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shahidi kapigwa rehersal wiki nzima hajalala. Daah hadi huruma
 
Uzuri Akina Kibatala Wanapata Support kutoka Mataifa Mbali Mbali Ambayo Yamehusika kwa Namna Moja Au Nyingine katika kutengeneza na kuuza hizo Machine Tanzania.

Kuahirishwa kwa Shauli hili kuna Fanya Akina Kibatala wakafanye mawasiliano vizuriii na kupata nondo za Kutosha kutoka kwa Ma IT nguli duniani na Hackers.

Hadi Sasa Pamoja na CV zote bado sijaoja Kazi aliyo fanya Shahidi, ushahidi wake ni kama Wawanasheria wa Tigo na Airtel.

Labda aje atuambie kuwa kwenye whatsapp aliona nini? Ila kwa ninavyo ijua whatsapp huwa haitoi taarifa za mteja kirahisi kama Tigo na Airtel, ingenoga zaidi Hawa Watu wangekuwa wanatumia Iphone au kitochi.

Ngoja tuone, ila amini amini nakuambieni, akina Kibatala wanapata support kubwa sanaaa nyuma ya hii Kesi

Kama Muamala wa Laki 5 au Elfu 80 au Laki 1 na 99 ni kufanya ugaidi basi watanzania Wote ni Magaidi.

Uzuri na Mwinyi alituma helaaaa naye aje
 
Hiviiii hii kesi ipo kwa faida ya nani?
Mbona sisiem mnakosa utu
Hii nchi sio mali ya mtu mbona hamuelewi?
Hebu mwachieni mtu wa wenyewe mbona hivi
 
Kuumwa ni haki na wajibu wake!
Sijui kwanini nahisi shahidi aliidanganya mahakama. Alikuja anaumwa hakusema. Pamoja na kuwa kupewa alert kuwa sauti yake ipo chini au wakili kamsogelea sana... Wakaenda break ya 45 minutes LAKINI bado hakusema anaumwa.
Upande wa mashtaka unacheza na akili ya mahakama!

My take:
Kuhairisha mahakama kwa kuyaamini maneno matupu ya shahidi bila ushahidi wa kitabibu ni udhaifu mkubwa wa mahakama zetu!
Wawepo wataalamu wa afya (hata paramedics) kutoa huduma ya kwanza/ vipimo vya awali na supporting docs!
Suala la afya ni nyeti sana!
 
huyo jamaa anaye jifanya kasoma ethical hacking ni mashuda matupu.
nilivo msoma na kiufupi leo anachezea kipigo cha kibatala
 
Hiviiii hii kesi ipo kwa faida ya nani?
Mbona sisiem mnakosa utu
Hii nchi sio mali ya mtu mbona hamuelewi?
Hebu mwachieni mtu wa wenyewe mbona hivi
Kuna kesi zipo kwa faida ya umma ili wananchi tupate kujitambua.
Nimejifunza mengi sana yahusuyo udhaifu na mianya iliyopo mahakamani, polisi, Tigo na Airtel n.k.

Kesi iendeleee. Elimu ipatikane zaidi!
 
Pain/ headache ni subjective. Mtu akikwambia kichwa kinauma hakuna namna ya kukipima/ kichwa/ maumivu
 
Mkuu kazi ya shahidi huyu ni kuunga na kuongezea nguvu ushaidi wa Tigo na Airtel na amefanikiwa. UWE UNAELEWA ila najua uwezo wa kuelewa huna kwa sababu Mbowe kwako ni Malaika kiasi hata ukimkuta kwa mkeo unampisha mpaka amalize kam Yusuf na Maria na yule malaika Gabriel.
 
Hiyo conclusion yako haikupaswa kuwepo. Ni kauli za kuudhi na kutweza utu!!
 

Sasa Kesi ya Ugaidi Vs Suala la Uelewa Vs Mke Wangu Vs kumpisha Mbowe Vs Yusuf na Maria Vs Gabriel ni nini?

Nyie hizi akili zenu ndio zinafanya Tuteseke hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…