Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3: Shahidi wa 13, Tumaini Swila ashindwa kufika mahakamani. Kesi imeahirishwa hadi Februari 14, 2022

Nafurahi sana jopo la mawakili wakiongozwa na Kibatala wapo "smart and bold".
Mtobesya amerejea.

Tuwe na subra, wapenda haki.

"upepo unazidi kuvuma kwa kasi sio muda uchi wa kuku utaonekana"
Mbona ulishaonekana kitambo.
 
NAENDA KUTAFUTA RISITI YA MALIPO KWENYE HOSPITAL BINAFSI ALIOSEMA AMEKWENDA KUTIBIWA
 
Hivi akija shaidi mwingine, huyu ndugu Swiler atakuja kurudhishwa tena kwenye kizimba na kupigwa cross examination au itakuwa ndio basi tena? Na je akiondola mazima ushahidi wake utachukuliwaje?
 
Kibatala et al, ikiwapendeza mhoji hao mawakili wa serikali na jaji wao kwanini hawakumtambulisha daktari wa shahidi kwenye choo Cha mahakama? Na kwanini daktari akae chooni badala ya sehemu wanakokaa wahudhuriaji wa hiyo kesi?
Mashaka yangu ni kuwa huyo aliyekuwa amejibanza chooni siyo daktari Bali kingai au mmoja wa mawakili wa serikali!
Mahakama kuu inaendekeza mambo ya kitoto Sana na jaji mkuu anaangalia TU huku akipata juice aipendayo Kwa Kodi zetu!
Ni sheria ipi au utaratibu Gani wa kimahakama unaoruhusu daktari ambaye hakutambilishwa mahakamani kumsaidia shahidi?
 
Safi sana. Kama mbwai na iwe mbwai. Walimtuma afungue jalada la kesi isiyokuwepo, halafu sasa yeye anateseka na maswali huku wao wamerelax. Na mbaya zaidi hii kesi inaweza kumharibia kazi yeye Swila kuliko huyo Kingai.

comte
Nilinyamaza ili matukio yawajibu- leo Jumanne na jana ilikuwa Jumatatu- Mbowe haponi
 
Samia na Sirro walijitutumua kuwa ushahidi umekamilika na wanamashahidi wakutosha... Kwa upuuzi huu unaofanyika ni dhahiri kuwa kuwa DPP alimdangaya Rais na IGP.. kiukweli hawa watu hawana mashahidi...

Ushahidi wao n wa kuungaunga sana! Serikali iache kuchezea kodi za wananchi kwenye kesi hii... Waondoe haraka sana shauri hili mahakamani.. hivi inawezekanaje ndani ya mashahidi 11 waliobaki hamna hata mmoja ambae yupo tayari kuja kutoa ushahidi??

Hii ni dhalili kuwa mashahidi wanapikwa na kumezeshwa cha kusema! Familia za watuhumiwa zinateseka na kupitia wakati mgumu sana dhulma hizi mnazozifanya zitatafuna hadi kizazi chenu cha nne! Mashahidi 13 wanatosha kuthibitisha jinai sitisheni ushahidi watuhumiwa wajitetee jaji atoe hukumu!
Ushahidi wao n wa kuungaunga sana! Serikali iache kuchezea kodi za wananchi kwenye kesi hii... Waondoe haraka sana shauri hili mahakamani.. hivi inawezekanaje ndani ya mashahidi 11 waliobaki hamna hata mmoja ambae yupo tayari kuja kutoa ushahidi??
 
Nilinyamaza ili matukio yawajibu- leo Jumanne na jana ilikuwa Jumatatu- Mbowe haponi
Duuhh, akili yako unaijua mwenyewe. Kwa nini ushahidi umekatishwa? DCI mstaafu Robert Boaz alikua wa muhimu sana kwenye hii kesi kufika kama shahidi ili amfunge Mbowe, kulikoni ushahidi wake umesitishwa?
 
Back
Top Bottom