Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Naitwa Golgota Magabe kutoka Geita GGM hii kesi ni ya mchongo shahidi katokomea chooni!Naitwa Philipo Ruzige, nafuatilia mjadala huu kwa umakini kabisa nikiwa mjini Daslam[emoji4]
Mbona ulishaonekana kitambo.Nafurahi sana jopo la mawakili wakiongozwa na Kibatala wapo "smart and bold".
Mtobesya amerejea.
Tuwe na subra, wapenda haki.
"upepo unazidi kuvuma kwa kasi sio muda uchi wa kuku utaonekana"
Mungu ana chukua watu wema kama Mwele, ana waacha hawa mashahidi wa mchongo. Natamani jumatatu aamkie kwenye fridge.Swila anaweza asirudi jtatu
Dr.Hangaya huyoInakuaje daktari anajificha chooni ili kumhudumia mgonjwa?
Sisi tunashangilia ila wewe usiyeshangilia endelea kumficha makondaUzi umejaa mashabiki na washangiliaji
Nashukuru kukufahamu Jimbi, wanasema ukifika Roma ishi vile waroma wanaishiNaitwa Jimbi, wewe ndugu Matereka Jayunga kwanini unatumia jina fake? Kwanini?
Nilinyamaza ili matukio yawajibu- leo Jumanne na jana ilikuwa Jumatatu- Mbowe haponiSafi sana. Kama mbwai na iwe mbwai. Walimtuma afungue jalada la kesi isiyokuwepo, halafu sasa yeye anateseka na maswali huku wao wamerelax. Na mbaya zaidi hii kesi inaweza kumharibia kazi yeye Swila kuliko huyo Kingai.
comte
Ushahidi wao n wa kuungaunga sana! Serikali iache kuchezea kodi za wananchi kwenye kesi hii... Waondoe haraka sana shauri hili mahakamani.. hivi inawezekanaje ndani ya mashahidi 11 waliobaki hamna hata mmoja ambae yupo tayari kuja kutoa ushahidi??Samia na Sirro walijitutumua kuwa ushahidi umekamilika na wanamashahidi wakutosha... Kwa upuuzi huu unaofanyika ni dhahiri kuwa kuwa DPP alimdangaya Rais na IGP.. kiukweli hawa watu hawana mashahidi...
Ushahidi wao n wa kuungaunga sana! Serikali iache kuchezea kodi za wananchi kwenye kesi hii... Waondoe haraka sana shauri hili mahakamani.. hivi inawezekanaje ndani ya mashahidi 11 waliobaki hamna hata mmoja ambae yupo tayari kuja kutoa ushahidi??
Hii ni dhalili kuwa mashahidi wanapikwa na kumezeshwa cha kusema! Familia za watuhumiwa zinateseka na kupitia wakati mgumu sana dhulma hizi mnazozifanya zitatafuna hadi kizazi chenu cha nne! Mashahidi 13 wanatosha kuthibitisha jinai sitisheni ushahidi watuhumiwa wajitetee jaji atoe hukumu!
Duuhh, akili yako unaijua mwenyewe. Kwa nini ushahidi umekatishwa? DCI mstaafu Robert Boaz alikua wa muhimu sana kwenye hii kesi kufika kama shahidi ili amfunge Mbowe, kulikoni ushahidi wake umesitishwa?Nilinyamaza ili matukio yawajibu- leo Jumanne na jana ilikuwa Jumatatu- Mbowe haponi