Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

Kibatala: Na Maelezo ya Kasekwa na Maelezo Ya Mohammed Ling'wenya kwenye Figure ambayo Mmoja anasema Jumla Walipewa TSh 174,000 na Mmoja anasema TSh 190,000 Je zinafanana au zinatofautiana

Shahidi: Zinafanana

Huyu shahidi ni bwege
Shahidi msameheni jamani. Hadi Mawakili wake wanaona saaa huyu bwana anatuangusha🤣🤣🤣
 
Inauma sana.

Nikiongeza neno nitalikosea mfumo wetu wa utawala
 
... Mwamba ameliamsha dude; kauli yake ya kwanza tu imebidi mahakama ikae kikao cha dharura! Inauma sana sana sana!
 
Daaah,inauma sana!Watu wanaenda health break kumbe watuhumiwa wanaenda kusubiri bila kupata chochote!
 
Ile siku ya kuhailisha kesi kama hawa jamaa walitumia technique ya kwenda kumfundisha namana ya kujibu maswali, leo wameumbuka, wamekuta paper imebadilishwa yahaani imekuwa tofauti kabisa na alichokalilishwa
 
Naam,cross examination ni elimu ya Bure Kwa tusiokuwa wanasheria!
Kama Umefuatilia kesi Toka Mwanzo,na mpaka Sasa hujaongeza ufahamu kuhusu mambo ya kisheria basi utakuwa kilaza!
Leo kindumbwe ndumbwe wetu kakojoa mara moja tu.

Tumaini Swila
 
Unawanyima chakula na kesi unawapa sijui hii inaitwaje!?!?
 
Ni kweli imefutwa?
 
baada ya swila mtiririko unaonyesha shahidi anayefuata hana nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…