Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

Huyu ndio tunaambiwa mtaalamu wa maandishi hata cheti hana,ni magumashi matupu[emoji3][emoji3]

Kibatala: Garry Breath anashauri Kuwa Unapo chukua Sampuli za Maandishi Za Mtuhumiwa lazima Pawe na Mtu Mwingine Kushuhudia

Shahidi: Ndiyo Lakini siyo lazima

Kibatala: Kwani wewe na Garry Breath nani Mtaalamu Wa Sayansi ya Uchukuaji Wa Maandishi

Shahidi: Mimi

Kibatala: Kwani Wewe una Certificate hata ya Sayansi ya Uchukuaji Wa Maandishi

Shahidi: Sina

Kibatala: Unafahamu Kwamba Garry Breath ni Daktari Wa Sayansi ya Uchukuaji Wa Maandishi anatumia Mpaka na FBI Mbali na Kuandika Vitabu

Shahidi: Sifahamu
 
Usijitese kuumiza kichwa chako. Hii nchi ina ng'ombe wengi, ukilinganisha na binadamu wachache wenye akili na utashi wa kufikiri.
Umeonaeeeeee! Hii ni mojawapo ya ng'ombe. Hivi mtu na akili zako unayefuatilia kesi hii unaona kabisa tangu mwanzo mashahidi muhimu hawagusi ugaidi, halafu anatokea mtu anaandika uharo namna hii!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
endelea kujitoa ufahamu utatuambia alipo ndugai
 
Kodi yetu inachezewa sana.Huyu dpp mungu anamuona.unapeleka kesi ya kubumba ili mpige mapesa.Jamani jamani kodi yetu.Hivi rais naye anakubali kudang'anywa namna hii ?.
 
Kimeumana
 
-
Wakili wa Serikali Robert Kidando: Mheshimiwa Jaji Tulikuwa tunajadiliana na Wenzangu hapa, lakini Kuanzia pale alipoenda Kwa Boaz, URIO na Sasa Kwa Shahidi Mwenyewe Sisi Kwa Shahidi Mwenyewe hatuna Tatizo,Mahakama Inakuwa sehemu Ngumu sababu Wale wengine Wameshatoa Ushahidi Wao, Kama wanataka Kuingiza Maelezo Yale, Ilitakiwa Iwe Kwa Wale Mashahidi Kwa Mujibu wa Kifungu 164 cha Sheria ya Ushahidi limeweka Masharti
Sisi tunaona Kwamba Kile Kinachoingia katika Ushahidi, kinaingia Kinyume na Utaratibu
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Kwa Heshima na Tahadhima, Wao Wenyewe walikuwa wanazungumzia Kidaftari ambacho Hakipo Mahakamani, Kuwa na Usawa Pili kamw hakusimama wakati huo, Basi Kuna Estoppel Hawezi Kuja sasa Kuomba Mahakama Ifute Ushahidi Kwa kazi ambayo hatujaisaidia
Tatu ni kwamba nauliza Kutokana na Majibu wa shahidi Mwenyewe Labda Kama Nita uliza Maswali ambayo hayapo, Hii ni Cross examination Mheshimiwa Jaji ni hayo tu.
Jaji: Wakati Wakili anauliza Maswali Kuhusu eneo hilo shahidi aliomba Ruhusiwe Kurejea, ili aweze Kujibu Kwa namna ambavyo ameuliza ameuliza akiwa anarejea, na Shahidi amejibu Maswali hayo kwa namna ambavyo alikuwa anarejeshwa na Upande wa Utetezi
Kwa namna ambavyo ameuliza ameuliza akiwa anarejea, na Shahidi amejibu Maswali hayo kwa namna ambavyo alikuwa anarejeshwa na Upande wa Utetezi Ni kweli Nyaraka hazipo Katika Kumbukumbu za Mahakama
Katika Mazingira hayo Mahakama Inaona Kwa nma hiyo Maswali ambayo yameulizwa na Kujibia hayawezi Kuondolewa
Jaji: Mahakama Inaelekeza Wakili wa utetezi (Peter Kibatala) aendelee Kuuliza Maswali.. NATOA AMRI
 
Duh! Huu cross examination ya Kibatala imemfanya shahidi kuonekana ni takataka. Kichwani hakuna kitu. Weledi ni zero. IQ ni minimum.

Hata kama ana nia ovu, kama angekuwa na hata average IQ, angeuweka huo uovu wake kwa akili kidogo kuliko alivyouweka kiasi cha kumfanya aonekane ni brainless.
 
Mchongo
 
Kadiri hii kesi inavyoendelea ndivyo inavyozidi kuipata serikali matope na kutengeneza ushahidi usiopingika wahanga watakapoamua kukata rufaa ama kufungua kesi ya fidia
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…