Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

Yanayoendelea mahakamani kwa watuhumiwa kulalamika kuteswa akiwemo Denis Urio ndio imepelekea muswada huu kupelekwa bungeni ili wakina Mahita watese na kuua watu kwa uhuru.
Huku ni kuhalalisha mauaji kwa kutumia sheria. Polisi wanaoua kila siku leo wanataka kupewa kinga na Bunge letu. Aise tukatae, hata kama hatuko bungeni, tupazeni sauti. Maanake yalipomkamata Mbowe yangeweza kufanya lolote alimradi hii sheria inawalinda
 
Ningekua kwenye jopo la mawakili wa serikali huyu inspector Swila nisinge muleta kua shahidi kaharibu kila kitu, yani ni mbumbumbu sanaa, yani police wengi ni vilanza hata masuali hailewi kabisa hata form 4 uenda hakufika.
 
Walianza na sheria ya kuwalinda viongozi wakuu, baadae itafika kwa vitongoji!
 
Comte aje hapa aone kuwa mtaalam wake hata Cheti hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…