Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

Kwa kifupi naona mashahidi wote upande wa Jamhuri wamekataa kabisa na kukubali kuwa Mbowe siyo gaidi! Maza usijifanye huoni hii kesi! Mwambie DPP aifute kesi hii haina maslahi kwa Taifa.
 
Hii kesi mpaka ije kuisha tayari mbowe ameshatumikia jela miaka kadhaa sio poa kabisa
 
Shahidi mara ayakatae maelezo yake mara anayakubali.. Hatari sana
 
Mimi naona wamevuka hata kwenye kiwango cha ujinga. Sijui baada ya kuzidi ujinga, kinafuata nini!! Huko ndiko waliko polisi wetu.
 
Yaani Polisi ni aibu aibu aibu tupu heri Jaji kaanza kujitoa katika aibu tuelekeapo Kidando hatashiriki aibu
Pole Mama kwa kuaibishwa na mapolisi
Kati ya matakataka hutakiwi kuwa na urafiki nao hata chembe ni hao majamaa! Hata mwanao akijiunga na hiyo profession fukuzia mbali tenga kabisa na familia. Hopeless kabisa.
 
Hapa kwetu, inaonekana wasio na akili wote, ajira zao zipo polisi.
 
Haiyumkini kichwani hamnazo! Kingai et Al jumlisha na mawakili wa serikali wanajikanyaga mahakamani wewe unawasifu! Shuleni ulikwenda kusomea ujinga? Kesi ya kumkomoa Mbowe ili mpumue huko ccm!
Jifunze jambo kwenye hii kesi ambayo polisi ni wakamataji, wapelelezi na ni mashahidi! Uliwahi kusikia nchi Gani yanafanyika haya? Umeshashiba kande, lililobaki kakojoe ulale!
 
Fulishi wetu wanajidhalilisha na kujichoresha dunia inawaona!!!
Mpelelezi gani kilakitu kuhusu kaziyake hajui hadi afafanuliwe??
Hizo kozifupi wanaendaga kurushwa tuu kichura na kufundishwa kutukana matusi ama??
Mbona kichwani hamna elimu yoyote????
Au vile vibanda wanavyokaa ubongo unashrink maana vile vijibanda hatahewa sidhani kama wanapata!!
Polisi wa kimataifa wakifatilia hawa viongozi wa folishi wetu huko mahakamani watabaki mdomo wazi dah!! Hata vibaka wanaweza kujieleza kuliko hawaaa ambamo ndaniyao wamo wezi,wauwaji,watekaji,wanyanyasaji,wabambikaji kesi,walarushwa!!!
ptuuuu!! Ukoowangu asitokee fulishi asee
 
Hii kesi alitunga SABAYA akishirikiana na Devil mmoja ambaye sasa hivi anachomwa nyayo na moto. NDUGAI nae alishiriki. Wakampa Kingai ambaye upeo wake wa kunyumbua mambo ni mdogo sana. Namsubiri sana Boaz na sanjeti Nuru siku yao. Huyu Swila hana hata uwelewa wa kutofautisha mambo. Jaji naona anaanza kuwaruka kila mara.
 
Chief!
Kwenye kesi hii wakati wa cross Examination kuna shule ya hatari mno.Wakili wa serikali na mashahidi wake huwa sisome kabisa .Lakini Ikifika kwenye Cross -Examination lazima kazi zi simamae
Ni kweli kwani upande wa mashitaka Mawakili na mashahidi wao wamekaririshwa maswali na majibu. Hayana mvuto kuyasoma.

Upande wa Utetezi ndiyo shule yenyewe hata Kwa Jaji mwenyewe anaelimishwa na hawa Jamaa. Mungu awatangulie kina Kibatala na Wenzie wote kwani ni Mawakili wenye Hofu ya Mungu.
 
Umefanya uchambuzi murua!
 
Kumbe hakuna haja ya kusoma Examination In Chief ni kupoteza tu muda kwani ni Fabrication tupu ngoma ipo kwenye Cross Examination maanake ndiko waliko wataalam wa sheria.
 
Unafikiri ukufanya ugaidi ni rahisi kama kwenda bar kunywa na kigenge chako. Ugaidi uufanye tena uhusishe askari! Askari atabakia kuwa askari, ndivyo alivyofunzwa...wapo wanaokengeuka lakini sio rahisi ktk watatu wakengeuke wote.
 
Kumbe hakuna haja ya kusoma Examination In Chief ni kupoteza tu muda kwani ni Fabrication tupu ngoma ipo kwenye Cross Examination maanake ndiko waliko wataalam wa sheria.
... Adv. Kibatala na jopo lake wanayegeuzageuza mapolisi hadi yanajikuta yalichokataa mwanzoni yanakuja ku-admit bila kutarajia! Kama ndoto vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…