Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

Kwa kifupi naona mashahidi wote upande wa Jamhuri wamekataa kabisa na kukubali kuwa Mbowe siyo gaidi! Maza usijifanye huoni hii kesi! Mwambie DPP aifute kesi hii haina maslahi kwa Taifa.
 
Hii kesi mpaka ije kuisha tayari mbowe ameshatumikia jela miaka kadhaa sio poa kabisa
 
Shahidi mara ayakatae maelezo yake mara anayakubali.. Hatari sana
 
Sijui huwa Wanatufikiriaje aisee!! Ni aibu tupu eti " safar hii huchomoki" wakahisi wametengeza kitu konk kumbe chenga tu na mbaya zaidi wakampotosha mpaka Hangaya nae akaingia King bila hata kufuatilia mwishowe aibu imewakumba wote, nilikuwa najua polisi ni wajinga Ila sikuwahi kuwaza kwamba ni wajinga kiasi hichi wamejivua nguo kwakweli hasa hao wenye rank za juu .
Mimi naona wamevuka hata kwenye kiwango cha ujinga. Sijui baada ya kuzidi ujinga, kinafuata nini!! Huko ndiko waliko polisi wetu.
 
Yaani Polisi ni aibu aibu aibu tupu heri Jaji kaanza kujitoa katika aibu tuelekeapo Kidando hatashiriki aibu
Pole Mama kwa kuaibishwa na mapolisi
Kati ya matakataka hutakiwi kuwa na urafiki nao hata chembe ni hao majamaa! Hata mwanao akijiunga na hiyo profession fukuzia mbali tenga kabisa na familia. Hopeless kabisa.
 
... jamaa yuko njema sana upstairs! Ukisikia ku-connect dots from raw data upate useful and informed information ndio kama hivyo sasa! Wajinga walikaa vikao wakawa wanajitungia upuuzi wao hawakuwaza kuna mabingwa wenye uwezo wa ku-link neno kwa neno la ujinga wao tena kwa speed ya supercomputer kupata "picha kamili" ya ujuha wao!

Vichwa kama hivi (Kibatala, et. al.) ndio utavikuta Mossad, M16, FBI, na kwingineko wanakojua maana ya professionalism na intelligence. Huku kwetu akina nani sijui na ma-failure mengine eti ndio wanakabidhiwa upelelezi wa kesi "ngumu" (kwa akili yao) kama hii! Funny!
Hapa kwetu, inaonekana wasio na akili wote, ajira zao zipo polisi.
 
kwakweli laiti kama kesi hii ingefutwa kama walivyo kuwa wanashinikiza wafuasi wa Mbowe basi tusinge jua mipango miovu ya kigaidi dhidi ya nchi na viongozi iliyo kuwa inapangwa na huyu mbowe na genge lake la kihlifu.
tunavishukuru sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa umakini mkubwa ktk kulinda amani na utulivu wa nchi.
Haiyumkini kichwani hamnazo! Kingai et Al jumlisha na mawakili wa serikali wanajikanyaga mahakamani wewe unawasifu! Shuleni ulikwenda kusomea ujinga? Kesi ya kumkomoa Mbowe ili mpumue huko ccm!
Jifunze jambo kwenye hii kesi ambayo polisi ni wakamataji, wapelelezi na ni mashahidi! Uliwahi kusikia nchi Gani yanafanyika haya? Umeshashiba kande, lililobaki kakojoe ulale!
 
Fulishi wetu wanajidhalilisha na kujichoresha dunia inawaona!!!
Mpelelezi gani kilakitu kuhusu kaziyake hajui hadi afafanuliwe??
Hizo kozifupi wanaendaga kurushwa tuu kichura na kufundishwa kutukana matusi ama??
Mbona kichwani hamna elimu yoyote????
Au vile vibanda wanavyokaa ubongo unashrink maana vile vijibanda hatahewa sidhani kama wanapata!!
Polisi wa kimataifa wakifatilia hawa viongozi wa folishi wetu huko mahakamani watabaki mdomo wazi dah!! Hata vibaka wanaweza kujieleza kuliko hawaaa ambamo ndaniyao wamo wezi,wauwaji,watekaji,wanyanyasaji,wabambikaji kesi,walarushwa!!!
ptuuuu!! Ukoowangu asitokee fulishi asee
 
Hii kesi alitunga SABAYA akishirikiana na Devil mmoja ambaye sasa hivi anachomwa nyayo na moto. NDUGAI nae alishiriki. Wakampa Kingai ambaye upeo wake wa kunyumbua mambo ni mdogo sana. Namsubiri sana Boaz na sanjeti Nuru siku yao. Huyu Swila hana hata uwelewa wa kutofautisha mambo. Jaji naona anaanza kuwaruka kila mara.
 
Chief!
Kwenye kesi hii wakati wa cross Examination kuna shule ya hatari mno.Wakili wa serikali na mashahidi wake huwa sisome kabisa .Lakini Ikifika kwenye Cross -Examination lazima kazi zi simamae
Ni kweli kwani upande wa mashitaka Mawakili na mashahidi wao wamekaririshwa maswali na majibu. Hayana mvuto kuyasoma.

Upande wa Utetezi ndiyo shule yenyewe hata Kwa Jaji mwenyewe anaelimishwa na hawa Jamaa. Mungu awatangulie kina Kibatala na Wenzie wote kwani ni Mawakili wenye Hofu ya Mungu.
 
Adv Kibatala, umefanya kazi nzuri Sana leo. Umempa point blank kuwa hii kesi wamebumba ndiyo maana watu wanawaandikisha maelezo baada ya wiki tatu, mwezi etc

Umeraise doubts that go to the root of the case and therefore not minor.
The only problem I can figure out is the JUDGE if he will see the same because of Executive influence on judiciary.

Hopefully you and your colleagues, will put them clearly during your final submissions . Wajibu mmeutimiza by 100%.
Najua kazi bado Ni kubwa as still the prosecution has a number of witnesses to screw, lakini by a great part you have done it.
Asante sana.
Umefanya uchambuzi murua!
 
Kumbe hakuna haja ya kusoma Examination In Chief ni kupoteza tu muda kwani ni Fabrication tupu ngoma ipo kwenye Cross Examination maanake ndiko waliko wataalam wa sheria.
 
lengo la mboe lilikuwa ni kununua mtu yeyote yule ambaye alikuwa tayari kufuata maelekezo yake ambayo ni, kuvuruga amani na utulivu wa nchi.


alikuwa anakusanya vijana wa kihuni na wasaliti na kuwajasirisha kutenda vitendo vya kigaidi/kihalifu dhidi ya nchi yao.

mboe alikuwa na aliunda genge la kigaidi kwa kuwatumia hao makomandoo na wahalifu wengine mbalimbali kama vile, majambazi, wauza madawa ya kulevya, wavuta bangi n.k.

huyo jamaa hakuwa mwanasiasa bali muhalifu mbobezi aliye jificha kwenye uongozi wa chama cha siasa.
ni mtu ambaye hakujali amani na utulivu wa nchi....ni msaliti aliye isaliti nchi yake kwa tamaa na uchu wake wa kijinga.
Unafikiri ukufanya ugaidi ni rahisi kama kwenda bar kunywa na kigenge chako. Ugaidi uufanye tena uhusishe askari! Askari atabakia kuwa askari, ndivyo alivyofunzwa...wapo wanaokengeuka lakini sio rahisi ktk watatu wakengeuke wote.
 
Kumbe hakuna haja ya kusoma Examination In Chief ni kupoteza tu muda kwani ni Fabrication tupu ngoma ipo kwenye Cross Examination maanake ndiko waliko wataalam wa sheria.
... Adv. Kibatala na jopo lake wanayegeuzageuza mapolisi hadi yanajikuta yalichokataa mwanzoni yanakuja ku-admit bila kutarajia! Kama ndoto vile!
 
Back
Top Bottom