Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Swila aomba ahirisho kuwa hajisikii vizuri; kuendelea na ushahidi 10/02/2022

Hivi tumpate wapi mtu asiyeegemea upande wowote anfunze huyu duanzi sheria za msingi?
 
Polisi anaenforce sheria hivyo lazima afahamu sheria zinazomlinda.Kwanini polisi Tena mwenye cheo asiifahamu GPO? Ushahidi mmoja unathibitishwa na ushahidi mwingine,wakili asipohoji maswali atathibitisha vipi assertion ya witness?
Usishindane nao hao waache Maombi yameanza kuwashughulikia wote wanahara! Mashahidi wa michongo wote wanakimbilia uani kuharisha. umegundua hili mkuu?
 
Mhe. JAJI, sisi tunaamini ahirisho limeombwa kwa sababu nyingine, siyo ugonjwa!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini jalada la kesi lilifungulia kabla ya maelezo ya watuhumia wakati kwa taarifa za mpelelezi Swila na wengine wote wanasema Makomandoo walitoa ushirikiano wa kutosha?
 
Huko CCM kuna mwenye akili timamu hata mmoja? Angalia michango yao kwenye uzi huu ni ya kipumbavu kabisa
 
Wakili wa serikali Kidando: Mhe. JAJI, nimeongea na shahidi anasema hajisikii vizuri kabisaaaaa, amepatwa na tatizo ghafla, tunaomba ahirisho....Kapigwa spana mpaka kaweka mpira kwapani.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hivi huyo wakili Kidando anajua maana ya ghafla? Shahidi alishajiwekea Kinga tangia Asubuhi kwa jaji
 

Mambo yamekuwa mazito upande wa mashahidi wa Jamhuri
 
YAANI huwa hata hamtumii akili hivi kweli mashahidi woote hao wanatoa ushahidi kama kesi ingekuwa ya kutengeneza ingeishia njiani tena mapema sana na hivi vitu inaonekana kabisa ni vya muda..,
JAJI: Mnaomba ahirisho la saa moja, au mpaka kesho? WAKILI WA SERIKALI: Mhe. Jaji, tunaomba mpaka kesho, hatuwezi kujua itakuwaje........Kesi ya mchongo inatesa mashahidi wa mchongo, spana zikibanwa shahidi mkojo unajaa kwenye suruali.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mpelelezi anasema hajawaona walipanga ugaidi, mpelelezi kafungua kesi kabla ya informer Luteni Urio kuleta taarifa! Mpelelezi kaandika maelezo ya mlalamika baada ya wiki tatu baada ya CD/IR/2097/2020 kufunguliwa! Kila swali analoulizwa, anasema sijui! Shahidi wake mkojo unambana kila mara! Ogopo kesi za magumashi, Mungu anajua kuumbua.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unapigwa maswali unaongea uongo mpaka unaumwa dadeek!

Aende akamezeshwe uongo mwingine kwaajili ya kesho nabado tutamwumbua tena shwaini huyu!

Ingetokea msema uongo mmoja akavuta mazima ningeshangilia hatari...wacha tuwatakie mabaya waumwe mpaka wadanje!!

Unakula kiapo na kitabu kitakatifu alafu unaleta mauongo yakusukwasukwa shwainiiii!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…