saidy josiah
Member
- Feb 23, 2015
- 11
- 2
Kipigo kipo pale pale.. amini maneno yangu.
Vipi Mnyama mkali wa porini hajafanya mambo huko?Moira umeanza dk 9 sasa
mpira bado haujatulia
dk 21' Okwi anakosa goli la wazi hapa baada ya kupiga kichwa kilichoenda nje ambapo golikipa wa Mgambo alishapote