Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Mgambo Jkt piga hiyo mikia irudi dar na majeraha yao.
 
Simba hatuna dhulma na mtu tunashinda tunapotaka. tukiongozwa na muuaji hatari ukanda huu wa Afrika Mashariki Emmanuel Arnold Okwi. Kijana mtukutu ndani na nje ya Uwanja ,Mbaya wa Yanga , jamaa wa mashuti ya mbali, aliyeshindikana, mnazi wa Simba, huyu najua atakabwa sana watamsahai Singano, Serunkuma,Ajib na Wengine.
 
Mgambo jkt fanya mambo huko tanga basi'
kila la kheir mgambo jkt.
 
hawa Azam TV mbona hatuwaelewi mara sauti inakata
 
dk 21' Okwi anakosa goli la wazi hapa baada ya kupiga kichwa kilichoenda nje ambapo golikipa wa Mgambo alishapote
 
Uwanja huu wa Mkwakwani ni mbovu sana kiasi cha kuzuia pasi maridadi za simba zisipigwe
 
Messi anafanya mambo adimu hapa Mkwakwani
 
Back
Top Bottom