Mgambo JKT 1 - Simba SC 0.
Bado nina Imani na Simba, Tutashinda acha hao wanaohonga ili washinde
Weka na matokeo basi.Mpira ni mapumziko
una pepo linaloitwa yanga
Mgambo JKT 1-0 Simba
Mgambo jkt wamekuwa watamuuuuuuuu!
tulia, mgambo anapigishwa jaramba hapa na tutashinda 2-1