Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

mimi hata simba ifungwe leo poa tu.. lakini sio kufungwa na yanga.
 
Kipa wa Mgambo anaokoa shuti kali la Okwi
 
dk 51' mabeki wa Mgambo wapo makini leo wanaokoa goli la wazi hapa.
 
kadi ya njano kwa mchezaji wa Mgambo baada ya kumchezea rafu Okwi
 
dk 60' Mgambo wanafanya mabadilko kwa nafasi ya golikipa
 
Back
Top Bottom