Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Leo ndio Leo pale Mkwakwani Mambo atakapomkaribisha Mnyama aliye kwenye form ya hatari sana pale Mkwakwani.

Simba itaingia katika mchezo wa leo ikiwa na morali ya hali ya juu baada ya kushinda mechi 3 mfululizo zilizopita chini ya staa hatari zaidi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki, Emmanuel Okwi aka Super Okwi.

Ikumbukwe Mgambo hajawahi kupoteza mechi dhidi ya Simba anapokuwa Mkwakwani. Hivyo mechi ya leo itakuwa ngumu.

Mechi ni saa kumi jioni.

Kikosi cha Simba
1.Mapunda
2.Kessy Ramadhani
3.Tshabalala
4.Isihaka
5.Moshid
6.Abdi Banda
7.Ramadhani Singano
8.Jonas Mkude
9.Ibrahim Ajibu
10.Said Ndemla
11.Okwi

==============
==============

Matokeo ya Mwisho: Mgambo 2 - 0 Simba
 
kawaida mechi inaanza baada ya pre match meeting ambayo mintaarafu hufanyika saa nne asubuhi, hapo mnaonyesha jezi na list etc
 
Mnyama mkali wa mwituni, leo kasi ni ile ile.. lazima wagambo tuwakalishe kwenye uwanja wao, mashabiki wao na hata refa wao.
 
Yanga wajae kwa wingi ili tuwape stlye ya kuwamalizia hao wazimbabwe. Njo mjionee vitu adimu vya Mnyama. Akiamua kuwinda hawezi kukosa kitoweo
 
Nina uhakika 100% Mnyama lazma atafune mtu.

Sasa kama una uhakika hayo maneno ya refa wao yametoka wap au ndio unatafta sababu endapo ukifungwa useme ulisema refa n wao sjategmea na ww utakua na fikra potofu kama hzo badilika broo
 
Kila lenye kheir leo liwaendee vijana wa MGAMBO JKT kwenye mawindo yao ya kumuua paka jike wa Kariakoo.....
 
Sasa kama una uhakika hayo maneno ya refa wao yametoka wap au ndio unatafta sababu endapo ukifungwa useme ulisema refa n wao sjategmea na ww utakua na fikra potofu kama hzo badilika broo

Kwani hujui fitina za mcheza kwao hutunzwa?
 
Kwani hujui fitina za mcheza kwao hutunzwa?

Hya kaka ila inapaswa. Na wewe ujitaid uwanjan ili kuepuka hzo fitina kaka na nakuomba ujarbu kuondoa fikra za marefa kubeba wenyeji japokua marefa wa kibongo hawana uwezo wa kuchezesha mpira ki ukweli ndio maaan timu ztu zkienda nje hufnya makosa ambayo huyafnya kwenye lig ya nyumban na wanasahau kama kule wanachezshwa na prof refferees so tabia hujenga mazoea
 
Kipigo kipo pale pale.. amini maneno yangu.
 
Back
Top Bottom