Yaliyojiri mechi ya Simba na Mtibwa sugar tar. 14/03/2015

Mtibwa leo tunawafanya kama tulivyowafanya yeboyebo wikendi iliyopita
 
Simba wakifungwa nitafurahi sana leo
 
update muhimu wadau naitakia mnyama ushindi mnono.
 
Pole zenu ambao mna machozi ya kuchezea wilki iliyopita mliishangilia Yanga mkalia navleo mnatafuta mcba kwa kuishangilia mtibwa na kifaru wenu

bora sie tuna nachizi kwa yanga we una machozi ya ......
 
Mnyama mkali wa porini kama uliweza kutafutana malapa ya kijani na njano yaliyoisha na yamejaa matope ya pale jangwani na hukuwa na kinyaa kabisa kwa nini ushindwe kutafutana mali ghafi inayotengeneza sukari kutoka kwenye mashamba ya Manungu?

maji mafupi ndio huzamisha watu
 
Leo tunatafuna miwa yote ya turiani km tulivyotafuna ndala za kijani na manjano za pale jangwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…