balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Acha kukurupuka,moira ndio nn!Moira sio historia kama ulimpiga Mara mbili Kwa hiyo ?
Yametimia tena Wa Uwanja wa Taifa. Wale "Wakimataifa Yanga Leo wamekiona cha mtema kuni mbele ya klabu ya Azamu.Yanga timu yenye kucheza Moira wa kasi pasi fupifupi ila Magazetini wameshindwa kuitwaa ngao ya hisani.Narudia tena Yanga acheni kucheza Moira Magazetini, Uchawi Na Kuonga marefa.Moira in Sayansi.Heko Azam
huu ugonjwa hata mimi ninao kwenye p mara nyingi nakurupukia o kama ni 'kukurupuka'Acha kukurupuka,moira ndio nn!
Acha kukurupuka,moira ndio nn!
huu mchezi hauhitaji hasira jameni, uzuri mmelewa ila mnaleta ligi tuHyo Moira ndo yule mamaake oliver quin[emoji2]
Kacheze ndondo cup weye.Hivi leo mechi ya Simba na Tabata dampo inaanza saa ngapi?Hatimaye Jiji la Dar es salaam limeamka kimya as baada ya "Wakimataifa" kupata kibano kutoka wa Wanalambalamba Azam.Kipigo hicho kimewanyamazisha Viongozi,Wanachama Na Mashabiki wa Yanga duniani.Yanga badilikeni Moira in Taaluma acheni kuamini Uchawi , kununua mechi Na kuhonga waamuzi.Pongezi kwenu Azam Kwa kunyakua Ngao ya Hisani.
Hongera kwa kushabikia WANAUME wenzio.Kazana,pengine utapewa japo juice ya embe.Hatimaye Jiji la Dar es salaam limeamka kimya as baada ya "Wakimataifa" kupata kibano kutoka wa Wanalambalamba Azam.Kipigo hicho kimewanyamazisha Viongozi,Wanachama Na Mashabiki wa Yanga duniani.Yanga badilikeni Moira in Taaluma acheni kuamini Uchawi , kununua mechi Na kuhonga waamuzi.Pongezi kwenu Azam Kwa kunyakua Ngao ya Hisani.