Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Kesi bwana, kampa Ngoma, kampa tena na Azam, hii sasa inakuwa Kampa Kampa Kampa tena.........
 
Ligi itaanza muda si mrefu.....

Nunaomba msianze kuimba nyimbo zenu za Yanga kununua mechi.....
Mara ohh Yanga wamenunua Marefa......

Muda utasema..
 
Yametimia tena Wa Uwanja wa Taifa. Wale "Wakimataifa Yanga Leo wamekiona cha mtema kuni mbele ya klabu ya Azamu.Yanga timu yenye kucheza Moira wa kasi pasi fupifupi ila Magazetini wameshindwa kuitwaa ngao ya hisani.Narudia tena Yanga acheni kucheza Moira Magazetini, Uchawi Na Kuonga marefa.Moira in Sayansi.Heko Azam

Nasikia leo Ngoma, Kamusoko, Niyonzima na Kessy hawakucheza vipi je kuna ukweli hapo? Nimeshindwa kuufuatilia huo mpambano kwakuwa huku Puerto Rico nilipo mtandao unasumbua sumbua hasa katika kutafuta habari za Kimichezo za Tanzania. Matokeo huko vipi kwa Timu yangu niipendayo ya Dar es Salaam Young Africans a.k.a " The hired ones ".
 
1471465638577.jpg
 
Hatimaye Jiji la Dar es salaam limeamka kimya as baada ya "Wakimataifa" kupata kibano kutoka wa Wanalambalamba Azam.Kipigo hicho kimewanyamazisha Viongozi,Wanachama Na Mashabiki wa Yanga duniani.Yanga badilikeni Moira in Taaluma acheni kuamini Uchawi , kununua mechi Na kuhonga waamuzi.Pongezi kwenu Azam Kwa kunyakua Ngao ya Hisani.
 
Watamsema Akilimali Yahaya kuwa ndo sababu ya wao kufungwa halafu Kessi na baadaye MANJI
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanapenda kufungwa sita hawa jamaa sijui kwa nini!
 
Hatimaye Jiji la Dar es salaam limeamka kimya as baada ya "Wakimataifa" kupata kibano kutoka wa Wanalambalamba Azam.Kipigo hicho kimewanyamazisha Viongozi,Wanachama Na Mashabiki wa Yanga duniani.Yanga badilikeni Moira in Taaluma acheni kuamini Uchawi , kununua mechi Na kuhonga waamuzi.Pongezi kwenu Azam Kwa kunyakua Ngao ya Hisani.
Kacheze ndondo cup weye.Hivi leo mechi ya Simba na Tabata dampo inaanza saa ngapi?
 
Hatimaye Jiji la Dar es salaam limeamka kimya as baada ya "Wakimataifa" kupata kibano kutoka wa Wanalambalamba Azam.Kipigo hicho kimewanyamazisha Viongozi,Wanachama Na Mashabiki wa Yanga duniani.Yanga badilikeni Moira in Taaluma acheni kuamini Uchawi , kununua mechi Na kuhonga waamuzi.Pongezi kwenu Azam Kwa kunyakua Ngao ya Hisani.
Hongera kwa kushabikia WANAUME wenzio.Kazana,pengine utapewa japo juice ya embe.
 
Ni aibu sana TFF kutoa zawadi iliyo chini ya kiwango
 
Attachments

  • 1471537195527.jpg
    1471537195527.jpg
    32.9 KB · Views: 76
Back
Top Bottom