Pole sana
ukifanya usajili mmbovu utapigwa tuMagoli ya kupewa?
Mechi bado hi game dk 90Kesha pakatwa cha pili
Radio oneRadio gan
Huyo katangulia stendi nauli tunazo sisiazam amesha pigwa 2 mkuu
Nikichapo tu na manji ndiyo kesha sema yupo tu haendi popote naona mikia mnatetemekaMagoli ya kupewa?
Vipi goli la pili kapiga nani?niliwaona mechi na URA nyanya sana Azam kazi kubwa sana wanayo
Hata mo bajaia walisema hivyo lkn hicho hicho kikafika dk ya 90Game bado mbichi hi Yanga mmetangulia Stendi nauli tunazo sisi ni kama kumshika tako mpemba tegemea..
Teh teh teh!! endelea kusubiri meli AirportGame bado mbichi hi Yanga mmetangulia Stendi nauli tunazo sisi ni kama kumshika tako mpemba tegemea..
Ni nawataka simba
Azam wamekula hongo si bure