Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajifanya kujitoa ufahamu sio
Ndala mnalalamika nini mechi kutoonyeshwa na azam tv. Mwenyekiti wenu si haitak azam TV
Haya mkuu,ila bado cjaelewa
Yanga 2 - Azam 0Ngapi ngapi sasa?
Kwani nyie Mambumbumbu fc mmefungwa mara ngapi na Yanga?
Kwani nyie Mambumbumbu fc mmefungwa mara ngapi na Yanga?
Tambwe magoliVipi goli la pili kapiga nani?
Asante sana mkuuTambwe magoli
Kwa jinsi Manji anavyonunua mechi, nadhani hata hii atakuwa amefanya yake!
Unaposema Azam kala hongo afungwe una maana gani?
Azam ni simba b sawa na act na ccmWacha ujinga wewe siyo kiivyo kama Azam
Sasa msiwalalamikie azam mwambieni mkodishaji wenu awaanzishie tv yenuNyie si wa bei rahisi mpaka mkaamua kumuuzia Mo team.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nasikia wanapatikana kiembe mbuzi vingunguti....🙂