Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Huu mkataba na TING wa lini? Kwa hiyo wanataka tununue hayo mating? Ila Yanga nyinyi ni wahapahapa,endeleeni na tabia zenu za rushwa.
 
Itakuwa habari njema, Azam ikifungwa kama goli 4 hivi. Labda watatia akili. Kiwango cha huyu kocha kutoka Spain hakina tofauti sana na kiwango cha Jaja (huyu alikuwa mchezaji wa Yanga)
Hahahaa.... Umenikumbusha kijana wa maximo
 
Huu mkataba na TING wa lini? Kwa hiyo wanataka tununue hayo mating? Ila Yanga nyinyi ni wahapahapa,endeleeni na tabia zenu za rushwa.

Itakua wamesaini na Yanga ,tutarajie kuambiwa mechi zote za Yanga zitaonekana TING ,(nawaza tu)
Kimya kimya kama QUALITY GROUP
 
Back
Top Bottom