No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Kama sio la michezo,usichangie bac....Kwani hli ni jukwaa la michezo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio la michezo,usichangie bac....Kwani hli ni jukwaa la michezo??
Simba ni Nani??
Asante mkubwaNgoma tena
Uvi kwa nini azam ina kila kitu km uwanja and other facilities bt inafungwa tu na yanga kwa nini wasikate rufa
Basi sawaAzam inaendeshwa kama Simba na Yanga tofauti ni wao wana uwanja
Angeweza kuzinunua na game za kimataifa kama hivi ingekuwa poa sana
Wakati mwingine jaribu kuonesha kama vile wewe siyo mpumbavuHuu mkataba na TING wa lini? Kwa hiyo wanataka tununue hayo mating? Ila Yanga nyinyi ni wahapahapa,endeleeni na tabia zenu za rushwa.
Uvi kwa nini azam ina kila kitu km uwanja and other facilities bt inafungwa tu na yanga kwa nini wasikate rufa
How?!Mwalimu kashasha live tbc taifa
Aveva naye mwana yanga????Huu mkataba na TING wa lini? Kwa hiyo wanataka tununue hayo mating? Ila Yanga nyinyi ni wahapahapa,endeleeni na tabia zenu za rushwa.
La kwanza Ngoma la pili Tambwe pasi ya ngoma.Mkuu sisi wengine tupo nje ya matangazo tafadhali tunaomba updates