Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Huyu Mzee Bakhresa analiwa pesa zake bure tu!! , sijaona mchezaji mzuri hapo
 
Uvi kwa nini azam ina kila kitu km uwanja and other facilities bt inafungwa tu na yanga kwa nini wasikate rufa
 
Kuna aka ya kumtoa Maadhi Juma na kuingia Msuva, as well Tambwe na kuingia Busungu ..
 
Angeweza kuzinunua na game za kimataifa kama hivi ingekuwa poa sana
 
Huu mkataba na TING wa lini? Kwa hiyo wanataka tununue hayo mating? Ila Yanga nyinyi ni wahapahapa,endeleeni na tabia zenu za rushwa.
Wakati mwingine jaribu kuonesha kama vile wewe siyo mpumbavu
 
Uvi kwa nini azam ina kila kitu km uwanja and other facilities bt inafungwa tu na yanga kwa nini wasikate rufa

Mkuu umeniwahi, nikweli Azam ana kila kitu,hadi wachezaji wake anawapa kila kitu watakacho, tatizo sijui liko wapi
 
Jidanganyeni tu na ao lambalamba mje kwa mnyama kichwakichwa tuwapige 10
 
Back
Top Bottom