Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Kwa jinsi Manji anavyonunua mechi, nadhani hata hii atakuwa amefanya yake!
 
Itakuwa habari njema, Azam ikifungwa kama goli 4 hivi. Labda watatia akili. Kiwango cha huyu kocha kutoka Spain hakina tofauti sana na kiwango cha Jaja (huyu alikuwa mchezaji wa Yanga)
 
Back
Top Bottom