Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

huwa ninaogopa sana makocha wanaojua kusoma mchezo

Mechi za Azam na Yanga siku zote ziko hivi ,Yanga anaanza kushinda mapema na anapata nafasi nyingi wanarelax then Azam wanakuja kusawazisha/kushinda.Yanga huwa anaanza vizuri Azam anamaliza vizuri
 
Wa kimataifa vip tena?? hata uku mavumbini watu wanakula utamu tena nilijua Leo azamu anakula tano!!?
 
Hongera sana timu yangu Azam. Kwa kweli nilikereka sana na kufungwa goli mbili za haraka.
 
Pale unaposikia Yanga wamefungwa na Azam
CqD_zfBXYAE6Nks.jpg
 
Eti akilimali ndo kasababisha na wataendelea kufungwa mpaka wamuombe msamaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yametimia tena Wa Uwanja wa Taifa. Wale "Wakimataifa Yanga Leo wamekiona cha mtema kuni mbele ya klabu ya Azamu.Yanga timu yenye kucheza Moira wa kasi pasi fupifupi ila Magazetini wameshindwa kuitwaa ngao ya hisani.Narudia tena Yanga acheni kucheza Moira Magazetini, Uchawi Na Kuonga marefa.Moira in Sayansi.Heko Azam
 
wamatopeni unacheza na timu za daraja la kwanza na bado unanunua mechi
 
Back
Top Bottom