Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Yanga mnazidi kutujengea heshima mtaani, hongera Mgambo mnazidi kuwafanya mashabiki wa mikia wazidi kujifichaFull Time:
Yanga 2-1 Kagera Sugar.
Mgambo 2-0 Simba.
Simba wa kizungu mgambo hana tabu
Sijui kwa nini Simba huwa anamfunga Yanga, maana vitimu vya ajabu vinamfunga Simba
Zoezi lilikua zuri ngoja twende kwa diamond platinum,,, nimemuelewa muro Simba si size yetu.
te te te te...
mgambo waliwadondokea simba kama lile kontena ililodondokea basi letu jamani yaani kila anaetaka kutoka anaishia kuminywa ..uwiiiiii we mgambo wewee ndio nini sasa si ungefunga kamoja tu mbona simba wanashinda kamoja tu siku wakishinda....anyway nasubiri msemaji wao
hahaaaa simba anaomba mechi zote za ligi zilizo bakia acheze na yanga