Yaliyojiri Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Leo 18/03/2015! VPL

eeheeee nifah Bantu lady Makoye Matale & others ya kweli haya au mnanogesha tu jukwaa

au Bantu lady umekosea hapa
By Bantu lady

Mgambo JKT 2 - Simba SC 0.

Yangekuwa si kweli wale jamaa wa mikia wangekuwa wamejaa hapa jukwaani. Kukosekana kwao hapa ni ushahidi kuwa matokeo yaliyotundikwa hapa ni kweli tupu.
 
Last edited by a moderator:
hiyo ni updated kweli Sibonike make mikia tunawazidi mkono kama sikosei
 
Last edited by a moderator:
Kuna makosa katika msimamo huo, TFF warekebishe makosa hayo mapema. Simba amecheza michezo 19 siyo 20, Simba ana pointi 29 siyo 30.

Afadhali kama ni point tano na michezo miwili mikononi. Yanga sasa iangalie Azam hao wengine wapigane vikumbo huko chini
 
Kagera licha ya kutawala soka kwa muda mrefu, wamekumbwa na janga la Kitaifa la umaliziaji na hasa dk za mwishoni kabisa, Hongereni Yanga..ALUTA CONTINUA
 
Kagera licha ya kutawala soka kwa muda mrefu, wamekumbwa na janga la Kitaifa la umaliziaji na hasa dk za mwishoni kabisa, Hongereni Yanga..ALUTA CONTINUA
Kama simba walivyotawala mchezo wao dhidi ya mgambo jkt lakin mwisho wa game simba ikachalazwa bakola mbili za nguvu.
 
Haruna Niyonzima-kadi nyekundu hatacheza.

Juma Said Makapu-Kadi tatu za njano hatacheza.

Kelvin Yondan-kadi tatu za njano hatacheza.

Avatar yako bwana:yo::yo::yo::yo:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…