Obhwire bhwirile
Member
- Feb 6, 2015
- 48
- 18
Jamani matokeo yanga vipi huko mtujuze
Yanga 2 kagera 1
Jamani matokeo yanga vipi huko mtujuze
Refaaaaa maliza mpiraaaaa
Nahisi ka zimesikka ki dizain
Yanga 2-1 Kagera Sugar.
Mgambo 2-0 Simba.
refa tiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiime!
Ahsante Yanga...
Ahsante Mgambo JKT...
Said Ndemla out ili kipa Peter Manyika Jr aingie golini.
Dakika ya ngapi mkuu
hapo ndio utajua kuna timu zina bahatisha kabisaa...