Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mimi nakuambia ni GENTAMYCINE huyo.Ni shabiki wa Kandambili. Hakuna wa SIMBA aliyezimia
Heheheheeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nakuambia ni GENTAMYCINE huyo.Ni shabiki wa Kandambili. Hakuna wa SIMBA aliyezimia
Teh...NAONA KAMA KUNA TIMU INAPENDELEWA HAPA.
Kazimia labdaMuanzisha Uzi amegoma kutupa updates. Kumbe Na yeye ni mikia!!!!
mliongea sana tumewanyosha tenq mbiliLeo vepeee Simba??? Tutapita wapi mjini aisee
silipwi na mtuMuanzisha Uzi amegoma kutupa updates. Kumbe Na yeye ni mikia!!!!
Bado 1Atakuwa anaonewa akifukuzwa
Mkeo ni yanga??Wakuu: Ni hakika kabisa leo unyumba sipewi maana tangu asubuhi naangaika na hii simba....Nitafutiwe mchepuko aisee
Vua nguo........teh teh tehMe ndio nimejichora Na nimepiga u red toka juu hadi chini. Sijui nitapita wapi kurudi home!!!!
Hahahahaaaa na unyimwe tu maana hakuna namna.Wakuu: Ni hakika kabisa leo unyumba sipewi maana tangu asubuhi naangaika na hii simba....Nitafutiwe mchepuko aisee
silipwi na mtu
Tunasawazisha.Bado 1
Refa wa yanga si alikuwa ndani ya uwanja, au na yeye alitoka ?Teh...
Halafu goli la 2 limefungwa Donald Ngoma akiwa nje kwa matibabu