Yaliyojiri Mikutano ya CCM: Maridhiano ya kitaifa, Mchakato wa Katiba Mpya, Uteuzi, Pongezi kwa Rais Samia na Mwinyi

Hii kauli ina maana wengine walikuwa hawana uvumilivu??🀣🀣
 
Pongezi na kwangu pia kupost hapa JF.

Sijui kwanini unampongeza mtu kutimiza wajibu wake??
 
 
Makamanda wanashangilia COVID kutemwa Badala ya kushangilia kwamba hatimaye tunaanza mchakato kupata KATIBA mpya.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Una akili timamu wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…