Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Anatafakari wakavyo piga vizuri mali za umma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafakari wakavyo piga vizuri mali za umma.
CCM ina kila sababu na sifa za kutawala kwa muda mrefu hii nchi, mapungufu yao tutayavumilia.Kwanii CCM ikitawala milele Kuna shida gani?. Nini kinchokuumiza?. Unatukana watu wanuka kwapa kisa wapo upinzani?. Acha dharau zako,
Magufuli akichukia chadema mwako ni sawa ? Ila chadema wakimchukia Magufuli sio sawa?
.Kuna watu walikuwa na dharau zaidi yako na walijiona miungu ila walifukiwa Chini huku waliowadharau wakiendelea kupumua.
Anafurahi watakavyo piga pesa za umma bila jashoMjumbe kama mjumbe, sijui anaelewa au anatoa macho.
View attachment 2171494
Mpuuzi wewe nchi italiwa mpka mwishoCCM ina kila sababu na sifa za kutawala kwa muda mrefu hii nchi, mapungufu yao tutayavumilia.
Ila awa wabaguzi wa wazi wazi tena kwenye ukabila na udini hawatufai hata kidogo.
Uchaga na ulutheri wa Chadema ni bendera nyekundu kwa wenye akili timamu.
Mhhhhh wapo kazini hao kutafuta fursa.Raia halali wa Tanzania tatizo nini?
Chadema ni hovyo kabisa, wanapoteza muda kushambulia wasukuma na hayati, huku ccm akichekelea, watakaposhtuka kurudi kwenye siasa tayari CCM na la kuwashambulia, kwamba ni chama kinachohamasisha ukabila na kutoheshimu marehemu, binadamu akishafariki mnamsetiri siyo kumbagaza.
Kwani Kinana alikua anashindana na nani labda kwa mfano?Kinana ashinda umakamu mwenyekiti CCM kwa kura zote za wajumbe 1875
Hakuna iliyoharibika
Na kivuli chakeKwani Kinana alikua anashindana na nani labda kwa mfano?