Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

CCM ina kila sababu na sifa za kutawala kwa muda mrefu hii nchi, mapungufu yao tutayavumilia.

Ila awa wabaguzi wa wazi wazi tena kwenye ukabila na udini hawatufai hata kidogo.

Uchaga na ulutheri wa Chadema ni bendera nyekundu kwa wenye akili timamu.
 
Mpuuzi wewe nchi italiwa mpka mwisho
 

Hovyo ni yupi Kati aliyepo kwenye vyombo vya maamuzi au aliyeko nje ya vyombo vya maamuzi? Yani unaiita Chadema hovyo ambayo haipo bungeni wala kwenye halmashauri na CCM iliyopo bungeni na kwenye halmashauri unaiona ya maana. Kweli unatatizo.

Bungeni na kwenye halmashauri ni CCM pekee, chadema unawalaumu kwa lipi?.
Kura muipe CCM halafu lawama muwape CHADEMA huo Ni ukichaa.

Halafu Chadema itafanya siasa wapi wakati ni miaka sita sasa mikutano imepigwa marufuku. Chama kitajieneza je?. Wakati chadema wanakamatwa kwenye mikutano yao ya ndani nyie ndio mlikuwa mnasifia. Leo Tena mnailaumu.
 
Hahaaa yule balozi wa kijiji kule kijijini malawi aka kataa wahuni ana hali gani huko, soooma kwenye ramani
 
Hongera sana Mzee Kinana.
Hakika anastahili sana
 
Kinana ashinda umakamu mwenyekiti CCM kwa kura zote za wajumbe 1875

Hakuna kura iliyoharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…