Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

Kwahiyo sie wa OUT ni vilaza? Ref hata viongozi wa juu nao ni Out student
 
Mliazimwa chama chao mkaanza kuteka watu , kutukana , kutesa na kuwaburuza mtakavyo , wenye chama wameamua kurudisha mali yao
 
Mliazimwa chama chao mkaanza kuteka watu , kutukana , kutesa na kuwaburuza mtakavyo , wenye chama wameamua kurudisha mali yao
Cyprian Musiba kumbe alijificha kwenye shamba la karanga bhana, hakujua mkongo wote unaonekana.
 
Haitakuja tokea kuibadili CCM madarakani kwa njia yakura.
Mpaka waamue deep state.Kupiga kura huwa niformality tu.Wakiamua upinzani ushike nchi wanaweza kwa kuwaandaa ipasavyo.Sasa shida ndio hawa akina Ziiiiiiiiito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…