kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kura yako Haina nguvu hiyo kwa sasa.Ccm inaenda kudharaulika twna and binafsi nitabakia na kadi yao ila nitajua nani nampigia kura but sio yule kibaraka wa wazungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura yako Haina nguvu hiyo kwa sasa.Ccm inaenda kudharaulika twna and binafsi nitabakia na kadi yao ila nitajua nani nampigia kura but sio yule kibaraka wa wazungu
CCM ni masters na hilo ndo sababu wapo pale walipo, wapinzani tumeshindwa cheza hii ChessCCM ni wafu wanaozikana, kisha wanafukua makaburi kufufuana tena.
Ni taasisi fulani ya wafu (kifikra). Hakuna kipya wala cha maana.
Kwahiyo sie wa OUT ni vilaza? Ref hata viongozi wa juu nao ni Out studentMaana yake CCM wanafuta vumbi silaha zao wakijiandaa kwa mpambano wa 2025, Majenerali wa Siasa wanarudi makambini kupanga strategy za vita tayari kumtwanga adui vilivyo.
Kinana ni msomi wa Harvard, moja ya vyuo Bora kabisa duniani, anakwenda kukipika chama hiki na kukisuka tayari kwa kuzikamata Siasa za nchi hii kwa miaka kumi ijayo. Stratejia za msomi wa havard haziwezi lingana na Mnyika au Mbowe ambao wamesoma open university tena huku wakifeli masomo na kurudia mara kwa mara
Ni tahadhali kwa wanaoimba katiba mpya wanasahau kujipanga kwa uchaguzi.
Ndio nini?dhahanati
Madawa ya kulevya TU yasirudi jamaniTimu ya JK inarudi tutapigwa hadi tuchakae
Yatarudi tu maana wazee wa fursa washatanguliza watoto waoMadawa ya kulevya TU yasirudi jamani
Cyprian Musiba kumbe alijificha kwenye shamba la karanga bhana, hakujua mkongo wote unaonekana.Mliazimwa chama chao mkaanza kuteka watu , kutukana , kutesa na kuwaburuza mtakavyo , wenye chama wameamua kurudisha mali yao