Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Mi nimeangalia mikutano yote, wa Bukoba na wa Biharamulo lakin mbona sijaona/sijasikia mtu kazomewa kama inavyovumishwa na hawa mbuzi mawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa live Dkt. Magufuli akiwa Biharamulo akitokea Kagera alikomaliza kampeni muda si mrefu.
Live hii hapa
Hawa ndo wanataarifa za kweli na nipata taarifa kutoka kwa member wa Chadema ndakua nakosea
Hawezi pendwa na watu wote.Amepata message live kutoka kwa raia mmoja aliyekuwa kwenye audience.