Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Baada ya Dr. Magufuli kufanya mkutano jimbo la Bukoba Mjini, leo atakuwa na mkutano Mjini Kayanga Jimbo la Karagwe mkoani Kagera.

Updates na picha nitaweka kadri ya uwezo wangu...

3.jpg
2.jpg

Akifanya Push-ups kuonesha yuko fit kuwa Rais wa JMT.

4.jpg
 
mapokezi hafifu?? Lini walikuwa na mapokezi makubwa?
 
Malori yamechelewa service?

Ni vizuri wawe wanawalaza pale pale mjini kuepuka ukweli huu wenye aibu kwao.
 
Hakukuwa na mawasiano mazuri kati ya mtu aliyepewa majukumu ya kuleta watu na malori au jamaa katumia ndege malori bado yako nyuma?
 
Leo asubuhi mgombea wa CCM John Magufuli amepata mapokezi hafifu Kayanga wilayani Karagwe.Katibu wa wazazi Abdalah Bulembo amemuomba Magufuli radhi kwa hali hiyo kuwa wananchi walipotoshwa na redio moja ya kijamii kuwa angefika jioni.Magufuli ameongea kwa muda mfupi na baadaye kuelekea wilaya ya Kyerwa
Kwa hiyo hao wachache waliofika hawakupotoshwa na hiyo redio..?
 
Labda upatikanaji wa malori, fuso na basi umekosekana maana bila uwepo wa nyenzo hzo mikutano yao inadoda.
Hongereni wakazi wa huko kwa kujali shughuli zenu za kujitaftia kipato.
 
hahaha..tatizo watu wameachwa bukoba baada ya kusombwa kutoka karagwe kwenda bukoba mjini sasa yeye leo kaenda huko huko wengine kawaacha bukoba wengine wana uchovu kusafiri na fuso sio mchezo jama
 
Wenye malori wameanza kushtuka kwani wanakopwa sana na ukifatilia unatishwa.
Hivyo bora ukijua kesho wanahitaji fuso zako unatoa tairi unaliweka juu ya mawe unasema mbovu, akiondoka Magufuli zinarudi Kazini.
 
kama hakuna malori au wasanii watu wanenda mikutano ya ccm kufanya nini??? au mafuso yamegoma
 
http://4.bp.blogspot.com/-bzysSXfFtLU/VgEVUgpcG2I/AAAAAAAAQlc/9_sNVgyg1k0/s640/ma%2B1.jpg[
/IMG]

Chanzo:[URL="http://www.somahabari.com/2015/09/magufuli-aibuka-na-mbinu-ya-kupigapush.html"]somahabari.com[/URL][/QUOTE]
duh kazi ipo mwaka huu
 
Back
Top Bottom