Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Abdallah Bulembo is an article of no commercial value. Class 7 failure from Mkendo/Aga khan Primaty school.
 
20150922_091340[1].jpg20150922_084858[1].jpg20150922_084858[1].jpg
 
Asante kwa picha nzuri.

Hapo ni Kayanga Karagwe tena saa nne asubuhi hiyo ni nyomi kubwa sana. Mgombea wetu anazifuata kura mpaka kule vijijini ndani. Mpaka sasa atakuwa amebakiza safari chache tu kukamilisha vijiji.

Huko ndio kuna wanachama waaminifu na sio washabiki. Unaweza kujaza uwanja kumne ni mashabiki na ukalia siku ya matokeo ya kura.

Queen Esther

i
Baada ya Dr. Magufuli kufanya mkutano jimbo la Bukoba Mjini, leo atakuwa na mkutano Mjini Kayanga Jimbo la Karagwe mkoani Kagera.

Updates na picha nitaweka kadri ya uwezo wangu...

View attachment 289791View attachment 289792
Akifanya Push-ups kuonesha yuko fit kuwa Rais wa JMT.

View attachment 289793
 
hayo ndo mapokezi halali bila ya fuso. anatakiwa agutuke sasa

Hao ni wanachama sio washabiki. Hizo ni kura hakika tayari Ziko kibindoni.

Hilo eneo halina watu wengi na mind you kuwa hapo ni saa nne asubuhi. Huyu mgombea anaenda vijijini sana na huko kuna kura za ukweli.

Queen Esther
 
20150922_091829[1].jpg20150919_113416[1].jpg

Leo Mkutano wa Magufuli na ule wa Lowasa jumamosi bunazi Wilaya ya misenyi.

Mie sina neno nasubiri tarehe 25/10.
 
HAPA KAZI TU:

Dawa ya Nigeria imeanza kuisha nguvu
 
Jamaa kapiga pushup 20. Tunamwomba nanihii nae atupe 3 tu!
 
Asubuhi ; sio mchana???????????

Magufuri anatisha mbaya
 
Back
Top Bottom