Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

MAGUFULI AMEPAGAWA
…Amefikia hatua ya kupiga push up na kujithalalisha mbele za watu kwasbb ya IKULU
…Amekuwa mwongo ktk swala la milioni 50 kila kijiji na zhnt kwsbb ya IKULU
…Amekuwa anaropoka kila wkt mbele za watu na kuongea kilugha akieneza ukabila,ukanda na Vitisho kwsbb ya IKULU
…Amekuwa akiwatuma wafuasi wake wamtukane lowasa na kuchana mabango,Kuwaua raia wasio na atia na kutoa rushwa kwsbb ya IKULU
…Ameamua hata kuiba M4C ya chadema kwsbb ya IKULU
…Wanatumia magari ya serikali,wanawasomba watanzania km kokoto,wanatumia wasanii wengi na kuwahonga watu mbalimbali kwasababu ya IKULU.
…Amekuwa akieneza sera za uwongo zilizomshinda kikwete,akitumia nguvu nyingi xn kwsbb ya IKULU
…JE CCM WANATAKA IKULU KWA NGUVU KWA MASLAHI YA NANI..EWE MTANZANIA CCM NI SUMU YA MAENDELEO
 
Afya wkt ana ugonjwa wa moyo....hz ni mbwembwe za kijinga
 
Amiri jeshi anatakiwa kuwa mkakamavu sio ndembe ndembe.Huyu ndiye anafaa mcheki

attachment.php
 
duuuu hii nayo nini? duuu basi kama hii nisababu yakwenda ikulu basi Francis Cheka anafaa nayeye. .kwakweli Pombe ameishiwa sera
 
Ni vyema na Lowassa nae akapiga pushup kuonyesha yuko fit.!
 
Ameshanganyikiwa huyo mwambie aombe twaweza wakabadilishe upepo la hivyo atanza kuhutubia akiwa amevaa overall
Wewe huna jipya zaidi ya kupayuka tu. Mwanaume yupo kazini, sasa mjaribishe wako uone cha mtema kuni.
 
MAGUFULI AMEPAGAWA
…Amefikia hatua ya kupiga push up na kujithalalisha mbele za watu kwasbb ya IKULU
…Amekuwa mwongo ktk swala la milioni 50 kila kijiji na zhnt kwsbb ya IKULU
…Amekuwa anaropoka kila wkt mbele za watu na kuongea kilugha akieneza ukabila,ukanda na Vitisho kwsbb ya IKULU
…Amekuwa akiwatuma wafuasi wake wamtukane lowasa na kuchana mabango,Kuwaua raia wasio na atia na kutoa rushwa kwsbb ya IKULU
…Ameamua hata kuiba M4C ya chadema kwsbb ya IKULU
…Wanatumia magari ya serikali,wanawasomba watanzania km kokoto,wanatumia wasanii wengi na kuwahonga watu mbalimbali kwasababu ya IKULU.
…Amekuwa akieneza sera za uwongo zilizomshinda kikwete,akitumia nguvu nyingi xn kwsbb ya IKULU
…JE CCM WANATAKA IKULU KWA NGUVU KWA MASLAHI YA NANI..EWE MTANZANIA CCM NI SUMU YA MAENDELEO
Huna jipya, kajipange tena.
 
Hivi watu mnakosa hata ya kulinganisha maana nadhani ni hoja za kukurupuka kama yule jamaa wa futuhi hivi ulipo hapo wewe unaweza kukimbia marathon na babu yako au baba yako
 
Sifa za kijinga ndio maana anajikuta anaropoka ropoka hovyo....Sadam ni Rais wa Kuwait.
 
MAGUFULI AMEPAGAWA
…Amefikia hatua ya kupiga push up na kujithalalisha mbele za watu kwasbb ya IKULU
…Amekuwa mwongo ktk swala la milioni 50 kila kijiji na zhnt kwsbb ya IKULU
…Amekuwa anaropoka kila wkt mbele za watu na kuongea kilugha akieneza ukabila,ukanda na Vitisho kwsbb ya IKULU
…Amekuwa akiwatuma wafuasi wake wamtukane lowasa na kuchana mabango,Kuwaua raia wasio na atia na kutoa rushwa kwsbb ya IKULU
…Ameamua hata kuiba M4C ya chadema kwsbb ya IKULU
…Wanatumia magari ya serikali,wanawasomba watanzania km kokoto,wanatumia wasanii wengi na kuwahonga watu mbalimbali kwasababu ya IKULU.
…Amekuwa akieneza sera za uwongo zilizomshinda kikwete,akitumia nguvu nyingi xn kwsbb ya IKULU
…JE CCM WANATAKA IKULU KWA NGUVU KWA MASLAHI YA NANI..EWE MTANZANIA CCM NI SUMU YA MAENDELEO

Sasa Kama Huyu Kapagawa Sijui Yule Aliyeji.... Alikuwa Amefanya Nin?
 
Back
Top Bottom