Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutafuti mpiga push up, tunatafuta Rais wa nchi.
Moja ya sifa ya kwenda Ikulu ni kuwa "FIT". Tatizo lenu nyie UKAWA hamsomi hata sifa za kuwa mgombea wa Urais ni zipi. Mmebakia kuwa wafuata Mkumbo tu. Mlete Lowassa aje afanye push ups tuone kama yupo fit.Hivi watu mnakosa hata ya kulinganisha maana nadhani ni hoja za kukurupuka kama yule jamaa wa futuhi hivi ulipo hapo wewe unaweza kukimbia marathon na babu yako au baba yako
Huu sasa ni utoto kabisa!
magufuli amepagawa
amefikia hatua ya kupiga push up na kujithalalisha mbele za watu kwasbb ya ikulu
amekuwa mwongo ktk swala la milioni 50 kila kijiji na zhnt kwsbb ya ikulu
amekuwa anaropoka kila wkt mbele za watu na kuongea kilugha akieneza ukabila,ukanda na vitisho kwsbb ya ikulu
amekuwa akiwatuma wafuasi wake wamtukane lowasa na kuchana mabango,kuwaua raia wasio na atia na kutoa rushwa kwsbb ya ikulu
ameamua hata kuiba m4c ya chadema kwsbb ya ikulu
wanatumia magari ya serikali,wanawasomba watanzania km kokoto,wanatumia wasanii wengi na kuwahonga watu mbalimbali kwasababu ya ikulu.
amekuwa akieneza sera za uwongo zilizomshinda kikwete,akitumia nguvu nyingi xn kwsbb ya ikulu
je ccm wanataka ikulu kwa nguvu kwa maslahi ya nani..ewe mtanzania ccm ni sumu ya maendeleo
Mheshimiwa Magufuli anaendelea kumtesa Lowassa kila nyanja, leo anapiga "push-ups" mbele ya halaiki ya watu. Huu ni ujumbe tosha kwa Lowassa kuwa Ikulu sio sehemu ya kuchezea.
Haya sasa washabiki wa Ukawa, mleteni Lowassa na yeye atuonyeshe ujasiri huu.
MAGUFULI AMEPAGAWA
Amefikia hatua ya kupiga push up na kujithalalisha mbele za watu kwasbb ya IKULU
Amekuwa mwongo ktk swala la milioni 50 kila kijiji na zhnt kwsbb ya IKULU
Amekuwa anaropoka kila wkt mbele za watu na kuongea kilugha akieneza ukabila,ukanda na Vitisho kwsbb ya IKULU
Amekuwa akiwatuma wafuasi wake wamtukane lowasa na kuchana mabango,Kuwaua raia wasio na atia na kutoa rushwa kwsbb ya IKULU
Ameamua hata kuiba M4C ya chadema kwsbb ya IKULU
Wanatumia magari ya serikali,wanawasomba watanzania km kokoto,wanatumia wasanii wengi na kuwahonga watu mbalimbali kwasababu ya IKULU.
Amekuwa akieneza sera za uwongo zilizomshinda kikwete,akitumia nguvu nyingi xn kwsbb ya IKULU
JE CCM WANATAKA IKULU KWA NGUVU KWA MASLAHI YA NANI..EWE MTANZANIA CCM NI SUMU YA MAENDELEO

Moja ya sifa ya kwenda Ikulu ni kuwa "FIT". Tatizo lenu nyie UKAWA hamsomi hata sifa za kuwa mgombea wa Urais ni zipi. Mmebakia kuwa wafuata Mkumbo tu. Mlete Lowassa aje afanye push ups tuone kama yupo fit.
Ama kweli rais wa kujipima kwa push up kwani anjiandaa na usaili wa kujiunga na jeshi nadhani wakati anamaliza form six JKT ilikuwa imesitishwa anayofanya mwenzie kayafanya zaidi ya hayo kwa vile yupo Bukoba aende kambini Kaboya akaruke vikwazo asiishie hiyo push up jeshini huwa ni sehemu ya adhabu nahisi ana makosa aliyowahi kuyatenda hapo nyuma
Katia aibu dunia nzima. Haijawahi tokea!! hapo ni sawa na kuhani kuanza kupiga push up madhabahuni!! kajidhililisha sana!!
Ikulu watu hawaendi kubeba zege!!
Mr Misifa kazini.......kwa hy tunasaka rais wa kupiga push up tz.
Mungu epushia mbali huyu mropokaji asiwe rais.
Moja ya sifa ya kwenda Ikulu ni kuwa "FIT". Tatizo lenu nyie UKAWA hamsomi hata sifa za kuwa mgombea wa Urais ni zipi. Mmebakia kuwa wafuata Mkumbo tu. Mlete Lowassa aje afanye push ups tuone kama yupo fit.