Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Tatizo nimeligundua tabia ya kuiga kulikoenea kila kona ya nchi yetu ina maana huyo anayemuiga angevua suruali naye angeiga any tusishangae ndipo tulipofika sasa
 
12032954_493529767488716_446508398174792867_n.jpg
 
Mgonjwa mgonjwa lkn adi leo anapiga compain zake vzr na hajaahirisha ata siku moja ....siku akiamua kuonesha picha zake akiwa gym ndipo mtafunga midomo na kuacha kumchawia baba wa watu....na nyie pia mnawazazi wenu waambien wafanye anayofanya magu....
12032954_493529767488716_446508398174792867_n.jpg
 
Ni lazima tujiridhishe namna ya kuchanganua mambo juu ya hawa wagombea wetu,hususani presidential candidates...!

Kuhusu afya kutuondoa hofu ujajibu lkn umeamua kupiga push up,ni vema tena sana.

Lkn,vp ukiulizwa kwamba umeenda jando?utaprove vp?pls give us a break...

Uza sera
 
Attachments

  • 1442923526796.jpg
    1442923526796.jpg
    29.3 KB · Views: 751
Jando ni muhimu maana kule utapata elimu ambayo huwezi kupata popote nje ya jando ... no wonder wananchi wanaomba meli yeye anaeleza mabarabara yenye mahandaki na ma-Calvert
 
Logic ya jambo hili nini,,,au ni sehemu ya sera / ilani ya chama au sehemu ya matatizo ya tanzania na watanzania?

Anawaonyesha wapiga kura kuwa ana afya njema na anaweza kuwa amiri jeshi mzuri kwa kuwa hata push up wanazofanya jeshini naye aweza.Au hujui kuwa Raisi ni kamanda wa Jeshi? Anatakiwa kuwa mkakamavu hasa. Hatakiwi kuwa legelege anayeweza hata kujisaidia haja kubwa hapo hapo alipokaa.
 
Waulize waganda amiri jeshi wao, BONDIA, FIELD MASHAL IDDI AMINI DADA aliwafanya nini? Na huyu naye ni wa kanda hiyohiyo, kalagabao!
 
Anawaonyesha wapiga kura kuwa ana afya njema na anaweza kuwa amiri jeshi mzuri kwa kuwa hata push up wanazofanya jeshini naye aweza.Au hujui kuwa Raisi ni kamanda wa Jeshi? Anatakiwa kuwa mkakamavu hasa. Hatakiwi kuwa legelege anayeweza hata kujisaidia haja kubwa hapo hapo alipokaa.
Safi sana kiongozi.
 
Mkuu mbona JK alichaguliwa pamoja na kuondoka jukwaani
 
Ni lazima tujiridhishe namna ya kuchanganua mambo juu ya hawa wagombea wetu,hususani presidential candidates...!

Kuhusu afya kutuondoa hofu ujajibu lkn umeamua kupiga push up,ni vema tena sana.

Lkn,vp ukiulizwa kwamba umeenda jando?utaprove vp?pls give us a break...

Uza sera
UKAWA tunawaambia kila siku, Ikulu sio Hospital ya Wagonjwa. Sasa mleteni Lowassa na yeye apige push ups tuone mwisho wako. Hii ndio habari ya Mjini.

Back
Top Bottom