MIAMIA.
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 210
- 82
Stiki kwenye hoja,sawa...vp is he circumcised? Mwambie approve.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKAWA tunawaambia kila siku, Ikulu sio Hospital ya Wagonjwa. Sasa mleteni Lowassa na yeye apige push ups tuone mwisho wako. Hii ndio habari ya Mjini.
![]()
Kumbe wanamagovi wagombea
hahaha..tatizo watu wameachwa bukoba baada ya kusombwa kutoka karagwe kwenda bukoba mjini sasa yeye leo kaenda huko huko wengine kawaacha bukoba wengine wana uchovu kusafiri na fuso sio mchezo jama
ila yuko fiti,push-ups za ngumi kwa umri wake lazima uwe mkakamavu.
HAPA KAZI TU:
Dawa ya Nigeria imeanza kuisha nguvu
Mbona mnaniondolea udhu,uzi wangu kuunganisha huku bora mfute
Baada ya Dr. Magufuli kufanya mkutano jimbo la Bukoba Mjini, leo atakuwa na mkutano Mjini Kayanga Jimbo la Karagwe mkoani Kagera.
Updates na picha nitaweka kadri ya uwezo wangu...
View attachment 289791View attachment 289792
Akifanya Push-ups kuonesha yuko fit kuwa Rais wa JMT.
View attachment 289793
Jizi pushap ndio zitatoa watanzania kwenye umasikini?mwambie hajenge hoja.MH JONH POMBE MAGUFURI APIGA PUSH UP 235 KWA DK 19 BILA KUPUMZIKA.
Leo Mh Jonh P.Magufuri Avunja RECORD YA WAGOMBEA URAIS DUNIAN kwa kupiga Push Up 235 kwa Dk 19.Mgombea URAIS WA Kwanza alikuwa Mh Baraka OBAMA alipiga PUSH UP 219 Kwa Dk 22 Mwako 2012 akiwa MJIN WA BOISE STATE IDAHO MJIN MAREKANI Alipokuwa Akishindana na MCHEZA BASKET BALL MR JORDAN.HUYU MH KWELI AMEJIPANGA.