MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,447
safi ni mwendo mdundo mpaka ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kati ya mwanasoka bora wa dunia wa mwaka 1995, George Weah na mama Ellen-Johnson Sirleaf, ni yupi anaweza kupiga push-up nyingi kuliko mwenzake? Wananchi wa Liberia hawakuangalia ukakamavu wa Weah, bali uwezo wa kuongoza nchi na mwanamama Ellen-Johnson Sirleaf alishinda uchaguziJamaa kapiga pushup 20. Tunamwomba nanihii nae atupe 3 tu!
utafikiri kalogwa hvi anafikiri ikulu tutampeleka comedian?
Nadhani picha yake ni hii ''hapa''duhhh hiyo picha mm cjaiona
Apige na puli jukwaan hapo nitamuona kidume haswaaa.
Kupiga Push Up aliko kufanya Magufuli ktk mazingira yale ni Sign za Stress za kampeni. Ni mpumbavu pekee mwenye kuamini kwamba Ikulu wanaingia Marais wenye kuweza kupiga pushapu.