Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Kwa hiyo hao wachache waliofika hawakupotoshwa na hiyo redio..?Leo asubuhi mgombea wa CCM John Magufuli amepata mapokezi hafifu Kayanga wilayani Karagwe.Katibu wa wazazi Abdalah Bulembo amemuomba Magufuli radhi kwa hali hiyo kuwa wananchi walipotoshwa na redio moja ya kijamii kuwa angefika jioni.Magufuli ameongea kwa muda mfupi na baadaye kuelekea wilaya ya Kyerwa
Kwa hiyo hao wachache waliofika hawakupotoshwa na hiyo redio..?
Hayo maswali yenu magumu sana kujibika. Hamtapata jibu.exactly, kwanini hao wengine wamefika?
http://4.bp.blogspot.com/-bzysSXfFtLU/VgEVUgpcG2I/AAAAAAAAQlc/9_sNVgyg1k0/s640/ma%2B1.jpg[
/IMG]
Chanzo:[URL="http://www.somahabari.com/2015/09/magufuli-aibuka-na-mbinu-ya-kupigapush.html"]somahabari.com[/URL][/QUOTE]
duh kazi ipo mwaka huu